CHEMICAL Mtoto Wa Mtaa cover image

Mtoto Wa Mtaa Lyrics

Mtoto Wa Mtaa Lyrics by CHEMICAL


Eyo Papa...It's Chemical
Tumetulia Tulia..Aaaha!

[VERSE 1]
Mziki ushakua kick na kick na Bikra Tupu
Nishavurugwa mimi ni Joto tu kila siku
Mziki nao kazi ila kazi kufika Nusu
Dada zangu miguu wazi haitoshi kufika Huku
Kemikali mgumu, UsistaDu sa mi wa nini?
Eti nikikaza nitaolewa tu na mimi
Nikizidi kukaza nitakufa masikini
Hao masistaDu kwanza wana nini zaidi ya chini
Aah! Subiri kwanza sijaja kuuza sura
Natafuta Pesa nkitoka home ndo wanakula
Kidogo naweka kwa kalekwa na Ndagula
Mambulula hamuezi jua, Mtajua mkishaga kua
Nimekulia mtaani na mtaa ndo wangu mama
Ikanitunza fani na ndani rafiki wana
Alinijua nani kabla ya huu mziki bhana
Sa nasema nikisema Mnasema nasema sana

[CHORUS]
Usijifanye unanijua mtoto wa mtaa nimezaliwa kitaa (Ayayaya)
Sijalewa na U-star I'm tryna push it harder nibaki at the Top (Ayayaya)
Wapi wanangu wa kitaani (tumetulia tulia)
Wapi wanangu vichaa (Ayayaya)
Wapi wanangu wa kitaani (tumetulia tulia)
Wapi wanangu vichaa (Ayayaya)

[VERSE 2]
I'm going in sina gwanda pekupeku kwenye Vita
Nayo bado kali ila naamini tu ntapita
Chini miba juu moto mbele panatisha
Na nyuma staki geuka maana nshapapita
Binadamu bhana...Asalaleee
Mshanihukumu sana, Nipumzisheni tu Nkalale
Ndugu nao lawama Eeh..ni yale yale
Wanaokupandisha jana watakushusha wale wale
Nimekulia mtaani na mtaa ndo wangu mama
Ikanitunza fani na ndani rafiki wana
Alinijua nani kabla ya huu mziki bhana
Sa nasema nikisema Mnasema nasema sana

[CHORUS]
Usijifanye unanijua mtoto wa mtaa nimezaliwa kitaa (Ayayaya)
Sijalewa na U-star I'm tryana push harder nibaki at the Top (Ayayaya)
Wapi wanangu wa kitaani (tumetulia tulia)
Wapi wanangu vichaa (Ayayaya)
Wapi wanangu wa kitaani (tumetulia tulia)
Wapi wanangu vichaa (Ayayaya)

[BRIDGE]
Wanasema sieleweki na tena sisomeki
Tayari nshawashika Pabaya
Sina maisha ya kuact sifanyi deal fake
Na bado kemikali ni fire
Wanangu eeh..Machizi wa kariakoo ni wanangu eeh
Manzese darajani wanagu eeh..
Bodaboda mission Town Nyie wanangu eeh..(Wanangu eeh)
Kitu Pambe tumedamshi vibaya vibaya
Ni full shangwe, wananita kemikali mbaya
Eyo papa..we be killin dem
Hatutaki kubatobato..SI HATUTAKI KUBATO BATO NA WATOTO!

Watch Video

About Mtoto Wa Mtaa

Album : Mtoto Wa Mtaa (Single)
Release Year : 2018
Added By : Afrika Lyrics
Published : Dec 10 , 2018

More CHEMICAL Lyrics

CHEMICAL
CHEMICAL
CHEMICAL
CHEMICAL

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl