CHEMICAL You & I cover image

You & I Lyrics

You & I Lyrics by CHEMICAL


Nilikupa mapenzi na vyote ila bado ukanipaka matope
Nikakupa na moyo usiondoke ila sawa and I guess I’ll be okay
Sikujali sikuamini uliposema, utaniacha
Nilijidai nikajiamini nikahisi labda (unaropoka)
Na kukupenda nilikupenda tho many times you closed the door
I call you pretender umeshanitenda deep in my heart coz I loved you more
Ukanifanya nikafall nikawa madly crazy in love you
You made me thought that I’m alone ulivyosema baby I love you too
Ukanifanya nikazama shida moyo I don’t know what to do
Kama pendo ladanganya basi sema ukweli wangu huu

You and I, you and I
Once upon
You and I, you and I
Now tell me baby
How will I, how will i
Now tell me darling
How will I, will I survive long ago
You and I, you and I

Sijui kweli nitapona me I don’t know (I don’t)
Ila nimejifunza vingi we ni somo (some)
Umenivuruga vuruga konokono, kila nikikuona ni kichefu chefu domo
Mapenzi yote nikakupa na  moyo
Nikakupenda and yes i was loyal
Chengachenga tu dume la uroho
Sio sawa roho gani hiyo ya choyo
Kwa ajili yako mi naumwa nakonda sio moyo tu kote na vidonda
Nakunywa nalewa najigonga gonga
Sielewi vipi umenibondabonda
Kivuruge unavuruga tu baba
Sijiu kwangu ulikosa nini labda
Me masikini kwetu sio mboga saba
Nilijibanabana il iule na kusaza
Leo sina thamani ndo maana, unawafuata mirupo ooh baba
We niacheee

Watch Video

About You & I

Album : You & I (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Aug 26 , 2022

More CHEMICAL Lyrics

CHEMICAL
CHEMICAL
CHEMICAL
Uno
CHEMICAL

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl