Asali Lyrics
Asali Lyrics by CHEMICAL
Penzi ntalibaba kama beka na
Siwezi kuondaka siwezi sepa na
Kwako na surrender mi mateka na
Vile unanifanya unanichanganya
You’re the only one, only one boo
Twende tukachill me na we bamboo
Sina issue we ndo issue yangu tu
Ukiniita kimammy nakuita kibabuu aah
Umeniteka naona raha tu
Sitaki kuimba staki rapu
Maneno mingi vishakunaku sina macho
Kwa wengine naona kaushafu
Umenitekaa aah, nawewesekaa baby
Watanizikaa aah, kwako nishadata
I’m going crazy mmmhhh mmmmhh
Asaliii penzi unalonipa nichepuke vipi?
Nimekushika umenikamata
Nimeng’ang’ania kwako sibanduki
Sina maliiii unanipenda wanauliza vipi ?
Why kwangu umeng’ang’ana
Inawakereketa wapambe nuksi
Tunaishi kwa imani kemikali
Haturudi nyuma kemikali
Milele daima kamikali
Tuzidi pendana kamikali
Tule dagaa, tulale njaaa
Ukose chapaa
Tutakomaa tutakaza pesa hazikidhi haja
Niite karibu baby naja
Nipe mapenzi nipe ladha nyinginyingi
Bao lako we na mi laushindi
Nikushike simamisha ndindindi hahaha
Naona raha tu
Sitaki kuimba staki rapu
Maneno mingi vishakunaku sina macho
Kwa wengine naona kaushafu
Umenitekaa aah, nawewesekaa baby
Watanizikaa aah, kwako nishadata
I’m going crazy mmmhhh mmmmhh
Asaliii penzi unalonipa nichepuke vipi?
Nimekushika umenikamata
Nimeng’ang’ania kwako sibanduki
Sina maliiii unanipenda wanauliza vipi ?
Why kwangu umeng’ang’ana
Inawakereketa wapambe nuksi
Tunaishi kwa imani kemikali
Haturudi nyuma kemikali
Milele daima kamikali
Tuzidi pendana kamikali
Tunaishi kwa imani (umeniteka)
Haturudi nyuma (si naweweseka)
Milele daima (baby watanizikazika)
Tuzidi pendana (watanzikazika)
They call me chemical
Mi ndio mwanawalubao
Sema mwanawalubao
Yeah, maxmizer umenitekateka
We be killing dem
Watch Video
About Asali
More CHEMICAL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl