Bifu la Nini Lyrics
Bifu la Nini Lyrics by BEST NASO
Asa hivi kila kona stori za Kajala
Mara mbula kajala mambo dala dala
Wamesahau wengine tuna mfungo
Kazi yao ni kurushana madongo
Hivi tunakwenda wapi wasanii wa Bongo
Kuna mwingine katongoza mtoto kala
Mara penzi likanoga
Wakajisahau kidogo, zikavuja picha
Mama anamiliki ba mdogo Konde
Konde akaanzisha timbwili
Mgogoro, afungwe Vanny Afungwe (Mgogoro)
Tulikomeshe tabia hii (Mgogoro)
Niliposikia nami nikasema
Sababu ana mtoto wa kike
Na anaitazama kesho yake
Kwa uchungu sababu ye ni mzazi eeh
Kumbe ana tamaa
Aliamini anafaidi mwenzake
Akataka vyote vyote viwe vyake
Bila kujali yule ni mama na mtoto wake
Oooh Kibo wametuvua nguo wanaume
Aibu ameonyesha na maproso
Zimevuja picha Youtube na Insta
Nimeogopa mpaka moyo ukadunda du du
Hey wagwana eeh
Mziki mbona mnauharibu eeh
Hey wajomba eeh
Mziki mbona mnauharibu eeh
Hey wagwana eeh
Mziki mbona mnauharibu eeh
Hey wajomba eeh
Mziki mbona mnauvuruga eeh
Kwa mambo ya kikuu kuu kuu
Frida Kajala tumia busara mambo yaishee
Acha yapite
Vanny Boy chuki haifai nadhani sasa muelewane
Sasa hivi tufanye mziki
Mbishane kwa verse na beat
Tuacha uzamani huo kutupiana maneno
Tufanye yamekwisha
Watch Video
About Bifu la Nini
More BEST NASO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl