Naona Kesho Lyrics by ANGEL

We unaona unaona aaaaah
Naonaaa Kesho itakua poa 
Kuliko leoooo
Naona kesho itakua poa 
Kuliko leo
Mbona wahuzunika 
Eti huna Chakula eti huna mavazi na una Baba

Mungu wa Elia aneza kulisha
Kama alivyolisha ule mjane
Naonaaa Kesho itakua poa kuliko leoooo
Naona kesho itakua poa kuliko leoo
prrrrrrrr
Usijitie kitanzi Mungu anakujua majina zako zote 
Hajakusahau 
Yeye Ni Mwaminifu

Naona kesho itakua poa kuliko leoo
Naona kesho itakua poa kuliko leoo
Nao nao nao 
Nao nao nao 
Nao nao nao

Naona kesho itakua poa kuliko leoo
Naona kesho itakua poa kuliko leoo
Naona kesho itakua poa kuliko leoooo
Mi naonaa naona aaaaaah

Music Video
About this Song
Album : Naona Kesho ,
Release Year : 2019
Copyright : ©2019
Added By: Its marleen
Published: Apr 29 , 2020
More Lyrics By ANGEL
Comments ( 0 )
No Comment yet