Ital Lyrics
Ital Lyrics by BOONDOCKS GANG
Eeeey, genge la Boondoksi
Hahaha, aaay
Weka weka ongeza ingine hadi niseme ital
Dara dara hiyo turi hadi iseme ital
Ni msupa ama chura bado ako ital
Sababisha tuwakunywe either wako ital
Tuwakunywe, tuwakunywe, tuwakunywe ital
Tuwakunywe, tuwakunywe, tuwakunywe ital
Tuwakunywe, tuwakunywe, tuwakunywe ital
Tuwakunywe, tuwakunywe, tuwakunywe ital
Nilikuwa jam sai ndio ninakam
Hawa watoto si wanapenda vitu tam
Wapatie wakanyonye vitu smart
Niwatese niwaonyeshe hizi plan
Hakuna haja dry dry usiburn
Hakuna za umleto, washa shash
Hakuna hapa cock fest hizi bash
Hakuna makali na kwani hii ni chach
Niko sure nimejipin nina rungu na
Nimpige za ulevi atoke ruku na
Atoke huku na huku aitishe google map
Aguze hizo wire askie thitima
Si uko very me nadai nikusese
Ongeza hizo glass bana nikubebe
Ongeza hadi ka 'yeah' nikuyembe
Ukidai kukatwa nina wembe
Weka weka ongeza ingine hadi niseme ital
Dara dara hiyo turi hadi iseme ital
Ni msupa ama chura bado ako ital
Sababisha tuwakunywe either wako ital
Tuwakunywe, tuwakunywe, tuwakunywe ital
Tuwakunywe, tuwakunywe, tuw
Kitu me hungoja ni gazeti ya sunday
Collabo next ya Yesu na Arianna Grande
Karao mokorino ama kuwa afande
Nang'aria sana kunipata sober sunday
Kama ni tei me sidai hizo ma 'lejo'
Nipate club nikikoroga ma lang'o
Nivute mbichwa ni confess kwa karao
Ati nilimanga mtoi wake pale chini grao
Twende garage me nadai kuchange oil
Sorry maddam me sidai kukuenjoy
Kwani maddam me nadai kukupea joy
Sidai Shiko na pia sidai Koi
Looku zangu me hupiga tu kikoi
Ni ma trencepts zote za gikosh
Sina ndae but maisha iko posh
Safisha fiti nikam nikuwash
Weka weka ongeza ingine hadi niseme ital
Dara dara hiyo turi hadi iseme ital
Ni msupa ama chura bado ako ital
Sababisha tuwakunywe either wako ital
Tuwakunywe, tuwakunywe, tuwakunywe ital
Tuwakunywe, tuwakunywe, tuwakunywe ital
Tuwakunywe, tuwakunywe, tuwakunywe ital
Tuwakunywe, tuwakunywe, tuwakunywe ital
Weka weka ongeza ingine hadi niseme ital
Dara dara hiyo turi hadi iseme ital
Ni msupa ama chura bado ako ital
Sababisha tuwakunywe either wako ital
Tuwakunywe, tuwakunywe, tuwakunywe ital
Tuwakunywe, tuwakunywe, tuwakunywe ital
Tuwakunywe, tuwakunywe, tuwakunywe ital
Tuwakunywe, tuwakunywe, tuwakunywe ital
Mi kichwa mbaya, me sifungagi ma trao
After wamemada kulamba hii lolo
Ngoja kidogo yangu si lolo ni kilolo
Nyaboke anadai twende nimpe kiboko
Mi kichwa mbaya, me sifungagi ma trao
After wamemada kulamba hii lolo
Ngoja kidogo yangu si lolo ni kilolo
Nyaboke anadai twende nimpe kiboko
Watch Video
About Ital
More BOONDOCKS GANG Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl