Rieng Lyrics by BOONDOCKS GANG


[Chorus:Kid Furnace]
Nipeleke na rieng
Nipeleke na rieng
Kikiwaka man npeleke na rieng
Zikinyanya npeleke na rieng
Mangoko wakifika basi npeleke na rieng

[Chorus:Exray]
Niko rieng na vifaa wataniuwa
Zimeshika ni vifaa watiniuwa
Kwanza rieng uyo bana atakuuwa
Shikilia bana we atakuuwa

[Chorus:Kid Furnace]
Nipeleke na rieng
Nipeleke na rieng
Kikiwaka man npeleke na rieng
Zikinyanya npeleke na rieng
Mangoko wakifika basi npeleke na rieng

[Verse 1:Exray]
Sare jooh ngeus bana atiniuwa
Akidai rungu bana atanijuwa
Ni mhot kuna vile ntaunguwa
Na maziwa jooh mi sitapumuwa
Kuna njeve. Na mistaki juwa
Uko ndethe namistaki juwa
Niko rieng. Na madem wamejibeba
Afathali nimpige Kuni nimejiweza
Kani chura niko lojo nishamkemba
Lenga sura miitabidi nimemteka
Ka ako jaba niko jaba
Na ma temper
Nimastingo zile ngori siatahepa
Alijochocha round 3 akateseka
Piga dry dry chaser uliweka?
Zima bulb now. Giza iko better!
Unda home home siutapigwa hadi ngeta

[Chorus:Exray]
Niko rieng na vifaa wataniuwa
Zimeshika ni vifaa watiniuwa
Kwanza rieng uyo bana atakuuwa
Shikilia bana we atakuuwa

[Chorus:Kid Furnace]
Nipeleke na rieng
Nipeleke na rieng
Kikiwaka man npeleke na rieng
Zikinyanya npeleke na rieng
Mangoko wakifika basi npeleke na rieng

[Verse 2:Maddox]
Jaza dash wako form wako B.A
Leta shash niko rieng na ma Df

Ongeza jug sina weng ya ma BM
Awo ma ngeus si uride
Bila DL
Takataka jenga kwako
Chuki
Zimeshika ju Jamaican cookies
Nina feel ka teacher on duty
Si u happen hadi Na suti
Namslayqueen wabebwe na duthi
Na samosa nizile za puthi
Nguo fupi nizile za uzi

[Bridge:Kid Furnace]
Nekee mudu man mi huwanga rieeng
Niite sonko man venye nazitweeng
Gikuyu wa murang'a na kamkobareeng
Ka wagithaka man ni kisapereeng
........
Mi huwasha ngwai adi kwa Baraza
Niko bash na ma ngoko ka Saba
Zikishika lamba Lolo chora Saba
Rombosa rombosa adi umwage haga

[Chorus:Exray]
Niko rieng na vifaa wataniuwa
Zimeshika ni vifaa watiniuwa
Kwanza rieng uyo bana atakuuwa
Shikilia bana we atakuuwa

[Chorus:Kid Furnace]
Nipeleke na rieng
Nipeleke na rieng
Kikiwaka man npeleke na rieng
Zikinyanya npeleke na rieng
Mangoko wakifika basi npeleke na rieng

[Verse 3:Exray]
Nishike jaba nishikishe Na wathi
Ama akuna ati Baze ya wazii!
Akuna Uber mulikam Na mathree
Turirime tukiburn izo trees

Watch Video

About Rieng

Album : Rieng (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019 Boondocks Gang
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 27 , 2019

More BOONDOCKS GANG Lyrics

BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl