
Magufuli Ndo Baba Lyrics
Magufuli Ndo Baba Lyrics by BILLNASS
Siku hizi hata vumbi hatulijui
Kila kona barabara hazisumbui
Magufuli na rushwa swara na chui
Amewafyeka mafisadi hawapumui
Tunadhubutu kusema ye ndo baba
Magufuli ni baba wa Tanzania viwanda
Tunadhubutu kusema we ndo baba
CCM ni baba wa Tanzania viwanda
Alright yeah, si kwako tutasimama
Alright yeah, kama unampenda simama
Alright yeah, si kwako tutasimama
Alright yeah, kama unampenda simama
Corona ilitufika na bado ilitushika
Akatuhimiza kuvaa maska na kadhalika
Vijijini kabisa na wanampa sifa
Amezijenga zahanati kwa uhakika
Kwanza watu wanafuata sheria na
Unatupenda si tunakupenda pia na
Hee, una kila sababu ya kupita tena
Una kila sababu
Hee, una kila sababu ya kupita tena
Una kila sababu
Tunadhubutu kusema ye ndo baba
Magufuli ni baba wa Tanzania viwanda
(Una kila sababu )
Tunadhubutu kusema we ndo baba
CCM ni baba wa Tanzania viwanda
(Una kila sababu )
Alright yeah, si kwako tutasimama
Alright yeah, kama unampenda simama
Alright yeah, si kwako tutasimama
Alright yeah, kama unampenda simama
Umeleta mwanga Tanzania
Natamani udumu hata miaka mia
Usafiri wa anga bombadia
Elimu bure, masikini wanasoma pia
Umetupa mwanga, umeme unawaka
Umetupa mwanga
By the way CCM moja namba
By the way wapinzani wanafyata
By the way umejenga madaraja
Kiongozi bora mambo safi hadi sasa
Na by the way mama Samia anatubeba nguvu
Amedhihirisha wanawake pia wanaweza
Na by the way na Majaliwa anatubeba nguvu
CCM imara haiwezi kutetemeka
Tanzania bara
Visiwani kote pia CCM imara
Tanzania bara
Visiwani kote pia CCM imara
Tunadhubutu kusema ye ndo baba
Magufuli ni baba wa Tanzania viwanda
(Una kila sababu )
Tunadhubutu kusema we ndo baba
CCM ni baba wa Tanzania viwanda
(Una kila sababu )
Alright yeah, si kwako tutasimama
Alright yeah, kama unampenda simama
Alright yeah, si kwako tutasimama
Alright yeah, kama unampenda simama
Watch Video
About Magufuli Ndo Baba
More BILLNASS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl