Mi na Yesu Lyrics
Mi na Yesu Lyrics by ANGEL BENARD
Bwana ni ngome yangu
Wimbo wangu milele
Bwana ni mwamba wangu
Sitaogopa kamwe
Bwana ni wokovu wangu
Utukufu wangu
Bwana ni nguvu zangu
Nimwogope nani?
Bwana ni wokovu wangu
Utukufu wangu
Bwana ndiye nguvu zangu
Nimwogope nani?
Yeah uuu...Nimwogope nani?
Yeiii uuu..Nimwogope nani?
Yeiyeee..
Mi na Yesu tu
Mi na Yesu tu
Mi na Yesu tu
Milele milele milele
Mi na Yesu tu
Mi na Yesu tu
Mi na Yesu tu
Milele milele milele
Bwana ni tumaini langu
Kimbilio milele mmmh
Bwana ni uzima wangu
Msaada ulio tele
Heee...uhh
Bwana ni mchungaji wangu
Ni pumzi yangu
Bwana ni utajiri wangu
Mimi nimwogope nani?
Bwana ni mchungaji wangu
Ndiye pumzi yangu
Bwana ni utajiri wangu
Nimwogope nani?
Yeah uuu...Hey..Nimwogope nani?
Nimwogope nani?
Mimi-mi
Mi na Yesu tu
Mi na Yesu tu
Mi na Yesu tu
Milele milele milele
Mi na Yesu tu
Mi na Yesu tu
Mi na Yesu tu
Milele milele milele
Mi na Yesu tu
Mi na Yesu tu
Mi na Yesu tu
Milele milele milele
Mi na Yesu tu
Mi na Yesu tu
Mi na Yesu tu
Milele milele milele
Watch Video
About Mi na Yesu
More ANGEL BENARD Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl