
Nani Lyrics
...
Nani Lyrics by D VOICE
Aii sweet
Kuna kitu mi nataka nikwambie
Lakini naogopa
Utaniona ka nina wivu hivi
Ooh sweet
Nikuonong’oneze wa pembeni wasisikie
Maana naogopa
Wataniona ka nina wivu hivi
Asa sijui ndo ujinga
Sijui ndo ufala
Au sijui mazoea
Ila napata tabu ukiwa mbalii maa
Mana nashindwa
Kula ata kulala
Mnyonge nanyong’onyea
Mwenzio napata tabu ukiwa mbali maaa
Honey kwako michizi poyoyo
Usiende mbali na mi
We ndotulizo la moyooo
Honey kwako michizi poyoyo
Usiende mbali na mi
We ndotulizo la moyooo
Oh na kama si wewe (nani)
Wakuniliwaza (nani)
Kunibembeleza (nani)
Oh kunipepea nilale (nani)
Oh na kama si wewe (nani)
Wakuniliwaza (nani)
Kunibembeleza (nani)
Wa kunipepea nilale (nani)
Zuchu chu chu
Kuna vyenye utimamu
Unanitoka nakuwa chakalamu
Hii inaiitwaje kitaalamu
Ukitajwaa kimoyo mi paaa
Why why utamu
Mshwiti shwiti babugamu (babugam)
Yaani nyam nyam nyam nyam
Ndio mapenzi au ufalaa
Why why why
Kwanza yote tisa kumi
Moyo umeuwamisha kambi
Unanipa penzi sabuni
Lanitakatisha dhambi
Wanao subiri
Livunjike penzi hili
Hatutishwi na tumbili
Kuachana apange mwenyezii
Honey kwako michizi poyoyo
Usiende mbali na mi
We ndotulizo la moyooo
Honey kwako michizi poyoyo
Usiende mbali na mi
We ndotulizo la moyooo
Oh na kama si wewe (nani)
Wakuniliwaza (nani)
Kunibembeleza (nani)
Oh kunipepea nilale (nani)
Oh na kama si wewe (nani)
Wakuniliwaza (nani)
Kunibembeleza (nani)
Wa kunipepea nilale (nani)
Watch Video
About Nani
More D VOICE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl