
Mbwa Lyrics
...
Mbwa Lyrics by D VOICE
Mwambie nishatukana mamba
Na mto nimeuvuka
Tena niko salama
Sijadhurika wala
Nishafuta na number
Na wala sijamkumbuka aa
Yaani niko salama
Nalishwa nalala
Niliyempata tonge busu
Sio tonge ngumi
Nadekezwa rahaaa
Sio tena nusu nusu
Huba kilo kumi
Mwenzenu nadekezwa rahaaa
Ex mbwa
Na mashoga zako (mbwa tu)
Ex mbwa
Na ndugu zako (mbwa tu)
Ex mbwa
Na marafiki zako (mbwa tu)
Ex mbwa
Na ndugu zako (mbwa tu)
Kwa uzuri gani mpaka nikulilie
Eti nitakukumbuka kwani
We baba wa taifa
Labda niwe nimedata
Ndio nikurudie eee
Sina hata cha kujuta
Ndio nikupe taarifa
Huku wali nazi
Paka chai nazi
Sio wewe komando kipensi
Mandonga mtu kazi
Huku wali nazi
Paka chai nazi
Sio wewe komando kipensi
Mandonga mtu kazi
Niliyempata tonge busu
Sio tonge ngumi
Nadekezwa rahaaa
Sio tena nusu nusu
Huba kilo kumi
Mwenzenu nadekezwa rahaaa
Ex mbwa
Na mashoga zako (mbwa tu)
Ex mbwa
Na ndugu zako (mbwa tu)
Ex mbwa
Na marafiki zako (mbwa tu)
Ex mbwa
Na ndugu zako (mbwa tu)
Watch Video
About Mbwa
More D VOICE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl