
Boda Lyrics
...
Boda Lyrics by BILLNASS
Ndo kwanza tupo kilomita sita
Funga mkanda bado hatujafika
Huku njiani kuna vita
Subira itahitajika
Shida, mitihani
Binadamu tumeumbiwa
Na mapenzi ni burudani
Toka enzi tuliambiwa
Umeleta furaha
Kipindi cha mashaka
Moyo ulipakwa mikaa
Umeutakasa
Sababu sina
Sina sababu
Nikiulizwa nimependa nini
Sina jawabu
Niwe wako boda boda (boda boda boda)
Popote tutatembea (boda boda boda)
Ooh hutolipia feaa (boda boda boda)
Foleni hutongojea (boda boda boda)
Nakukamatia juu
Nakukamatia chini
Watu wote wanajua
Nakukamatia mimi
Wanafki wambea
Watakamatia nini
Acha waenda watutoge, si tukamatie dini
Story za mapenzi, si tunafaa
Washasemaga mengi
Miaka kadhaa
Na bado tuna trend usiku na saa
Si uko na mnyamwezi, kibana baa kibana baa
Habibi eh
Siri ndogo ndogo nifichie
Kama nikikosa niambie
Na nikipatia unisifie
Unisifie baby
Habibi eh
Siri ndogo ndogo nifichie
Kama nikikosa niambie
Na nikipatia unisifie , unisifie
Sababu sina
Sina sababu
Nikiulizwa nimependa nini
Sina jawabu
Niwe wako boda boda (boda boda boda)
Popote tutatembea (boda boda boda)
Ooh hutolipia feaa (boda boda boda)
Foleni hutongojea (boda boda boda)
Watch Video
About Boda
More BILLNASS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl