Mama Lao Lyrics

MKALI WENU Tanzanie | Bongo Flava,

Mama Lao Lyrics


Sikiliza we usiniletee mambo ya darasa la pili
Unaniibia penseli yangu alafu unanisaidai kutafuta
Nakwambiaje, unikome jamani 
Mjomba simama maana mimi nina wajomba wengi
Kwa hio wote ni mama zangu(Ndio)

Dudu Baya mama lao(Mama lao)
Wa mitego mama lao(Mama lao)
Dully Sykes mama lao(Mama lao)
Malukamba mama lao(Mama lao)

Na babu mama lao(Mama lao)
Makabila mama lao(Mama lao)
Mkude mama lao(Mama lao)
Na mimi ndio toto lao

Nyama kwa nyama ni joto joto
Leo ndani nawasha moto
Uwoga mi si kijiki moko
Nje baridi huku kwetu joto

Umechoka eti(Ahh wapi)
Unataka lala(Aah wapi)
Spidi imezidi(Aah wapi)
Twende kwenye kiti

Kidem kile chembamba
Hakina ata msambwanda
Lakini vipi kinatamba
Kinaongoza kudanga

Uliiba kweli(Aah wapi)
Ile penseli(Aah wapi)
Darasa la pili(Aaah wapi)
Na kumbe kadanganya (Aaaah)

Dudu Baya mama lao(Mama lao)
Wa mitego mama lao(Mama lao)
Dully Sykes mama lao(Mama lao)
Malukamba mama lao(Mama lao)

Na babu mama lao(Mama lao)
Makabila mama lao(Mama lao)
Mkude mama lao(Mama lao)
Na mimi ndio toto lao

Kajala amenona na Gigy amenona(Amenona)
Ruby hajanona, Vanessa hajanona(Hajanona)
Amefosi pombe mteremko(Eeeh zimemponza)
Mavideo faragha na mafoto(Eeeh wanamcheka)

Dada kuja kati(Dada kuja kati)
Kisha vua shati(Kisha vua shati)
Hamorapa monkey(Aiyeyeye)
Anadanki danki

Eeeh wanakitaka(Kidude)
Hakichomoki(Kidude)
Changu mwenyewe(Kidude)
Japo kidogo dogo(Hichi kidude)

Wema kaomba tena
Wema kaomba tena(Eeeh)
Lulu kaomba tena
Lulu Lulu kaomba tena(Kidude)

Wolper kaomba tena
Wolper Wolper kaomba tena(Eeeh)
Linah kaomba tena 
Linah Linah kaomba tena(Kidude)

Dudu Baya mama lao(Mama lao)
Wa mitego mama lao(Mama lao)
Dully Sykes mama lao(Mama lao)
Malukamba mama lao(Mama lao)

Na babu mama lao(Mama lao)
Makabila mama lao(Mama lao)
Mkude mama lao(Mama lao)
Na mimi ndio toto lao

Madem wananipenda 
Mwenzenu wananisumbua(Acha uongo)
Insta DM yangu
Message wananitumia(Acha uongo)

Wananisumbua(Acha uongo)
Wananitumia(Acha uongo)
Wananisumbua(Acha uongo)
Eeeh nimewakata

Uliiba kweli(Aah wapi)
Ile penseli(Aah wapi)
Darasa la pili(Aaah wapi)
Aaah kumbe kadanganya (Aaaah)

Hahaaha jamaa niliowataja 
Humu mwote ni wajomba zangu
Yaani ni baba zangu
Haha nampenda sana mama yangu Dudu Baya

MKALI WENU (3 lyrics)

Jackson Supakila aka Mkali Wenu is a Tanzanian actor, comedian, Musician & MC.

Leave a Comment