Maria Lyrics
Maria Lyrics by BELLE 9
Ndoto tunazo wote sio za kushare
Wangapi wana mbawa na hawajapepea
Umemute kwa style haya mapito
Na hizi kiki za town dunia si nzito
Haya machozi ya furaha
Kusizi nalio
Kufuta macho haimaniishi
Nimechoka Maria
Wengi huvuta kwa macho
Si rahisi kufanania na ndani
Uzuri haupimwi kwa macho
Ila we mzuri wa nnje na ndani
Chuoni miangu Maria
Nanena nawe Maria
Chuoni miangu Maria
Nanena nawe Maria
Ah - ah - ah, heiyee Maria
Ah - ah - ah, heiyee Maria
Heiyee Maria
Kwanichoni Maria
Chuoni miangu Maria
Nanena nawe Maria
Chuoni miangu Maria
Nanena nawe Maria
Ah - ah - ah, heiyee Maria
Heiyee Maria
Heiyee Maria
Kwanichoni Maria
Kinondoni hata masika wananoga
Wanamix mapicha picha wanangoja
Salmacone mpaka mafisa wananoga
Wanamix mapicha picha wanangoja
Jamaa anahisi kukuacha kakosea
Na kweli karibu hii njia haujapotea
Msamaha rahisi my beiby take care
Japo vita ni ndogo ndogo we have to pray
Wengi huvuta kwa macho
Si rahisi kufanania na ndani
Uzuri haupimwi kwa macho
Ila we mzuri wa nnje na ndani
Heiyee Maria, heiye heiye
Heiyee Maria
Wanichoni, kwanichoni
Wanichoni Maria
Wanichoni, kwanichoni
Wanichoni Maria
Maria, Maria, Maria
Chuoni miangu Maria
Nanena nawe Maria
Chuoni miangu Maria
Nanena nawe Maria
Ah - ah - ah, heiyee Maria
Ah - ah - ah, heiyee Maria
Heiyee Maria
Wanichora Maria
Chuoni miangu Maria
Nanena nawe Maria
Chuoni miangu Maria
Nanena nawe Maria
Ah - ah - ah, heiyee Maria
Heiyee Maria
Heiyee Maria
Kwanichoni Maria
Watch Video
About Maria
More BELLE 9 Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl