Hayatabiriki Lyrics
Hayatabiriki Lyrics by BELLE 9
Tulichochelewa kuolewa
Ndio kitu tunadiscuss ghetto na wanangu
Ahadi zisizo tokea
Hazipunguzi spidi za kuhandle haya mambo yangu
Hata waliopata walisubiri
Ndoto haziwezi katwa na watabiri
Pasta naye anataka nitoe mbili mbili
Mpaka nikikufuata tumia akili
Zile nenda rudi zinafanya tuchoree
Tushajitolea kujiahidi we ni wee
Hatuna maadili ila hatujakosa akili
Sivyo wanavyotufikiri wanavyotuona
Hayatabiriki haya maisha wee, hayatabiriki
Hayatabiriki haya maisha wee, hayatabiriki
Hayatabiriki haya maisha wee, hayatabiriki
Hayatabiriki haya maisha wee, hayatabiriki
Yeah tabiri vyote ila sio haya maisha
Hayatabiriki
Nilikuwa na ndoto za kuwa rubani nikaishia kwenye muziki
Alikuwa na ndoto za kuwa maarufu zikaishia ni kiki
Hana chochote mwana haambiliki
Zamani nilikuwa sina pa kukaa
Sasa hivi napo mtaani ni mapazia tu yanang'aa
Vumbi ndio nini mafikia yametapakaa
Nimehamia mtaa wa saba sio kule nilipokuwa nakaa
Na tunakula bata tukipata, miluzi tukikosa
Bia hazioni ndani haya maisha ni tungi tosha
Unaweza ukapata muda ambao ukakosa
Na ukijifanya unapenda vya waza tunakukosa haya maisha
Mbona haya maisha yalivyo kakara
Wasafishavyo kwenye down fasta fasta
Leo unakosa na kesho unapata
Usiamini ndugu tafuta chako jitetee
Hayatabiriki haya maisha wee, hayatabiriki
Hayatabiriki haya maisha wee, hayatabiriki
Hayatabiriki haya maisha wee, hayatabiriki
Hayatabiriki haya maisha wee, hayatabiriki
Maisha we we we we, over light
Am telling you things can change
In your life
Mbona haya maisha yalivyo kakara
Wasafishavyo kwenye down fasta fasta
Leo unakosa na kesho unapata
Usiamini ndugu tafuta chako jitetee
Hayatabiriki haya maisha wee, hayatabiriki
Hayatabiriki haya maisha wee, hayatabiriki
Hayatabiriki haya maisha wee, hayatabiriki
Hayatabiriki haya maisha wee, hayatabiriki
Watch Video
About Hayatabiriki
More BELLE 9 Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl