Freemason Lyrics
Freemason Lyrics by BELLE 9
She dangerous
She is better than you
Wanamwita freemason, she dangerous
Ananipa free mambo, she is better than you
Wanamwita freemason yeah, she dangerous
Na ananipa free mambo
Mitaa ya poster town mi na swing za kibabe
Anakuja slow slow shape ya Nicki Minaj
Macho yakagongana aibu kusogeleana
Vipi tutasemeshana
Akipost she like tunavimbiana
Mbichi mbichi mbichi zimelowa za kunyonya
Ikabidi tumejisogeza kwenye kona
Vile kwichi kwichi kama vile najiona
Leo ndio huyu sijui kama atapona
Wanamwita freemason, she dangerous
Ananipa free mambo, she is better than you
Wanamwita freemason yeah, she dangerous
Na ananipa free mambo
Tuko party mtoto akanipa mate
Sikuamini hilo heart toto lake
Mmmh nimpakate mmh natamani nipae
Msumbufu mwingi mapeteshe
Wasanii pia wanataka wa share
Toto kanielewa ananikote
Jamani niletee nijimegee
Insta Insta anapost pictures
Nyuma ana mawili najionaga kama sita
Vita vita kamoyo kanapwita
Katoto kazuri kazuri ka sinyorita
Madiga mtakula kwa macho yeah
Akipost she like tunavimbiana
Mbichi mbichi mbichi zimelowa za kunyonya
Ikabidi tumejisogeza kwenye kona
Vile kwichi kwichi kama vile najiona
Leo ndio huyu sijui kama atapona
Wanamwita freemason, she dangerous
Ananipa free mambo, she is better than you
Wanamwita freemason yeah, she dangerous
Na ananipa free mambo
Watch Video
About Freemason
More BELLE 9 Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl