Bembeleza Lyrics
Bembeleza Lyrics by BELLE 9
Uwoo, what I see is love
What I see is love
Everything she needed
Anytime she want me
Everytime she call me
What I see is love
Everything she needed
Anytime she want me
Everytime she call me
What I see is love
Niko chini ya kifua chake, nabembeleza
Kiuno ndani ya mikono yangu, nabembeleza
Niko chini ya kifua chake, nabembeleza
Kiuno ndani ya mikono yangu, mi nabembeleza
Ana kitovu cha kipini baby she is nasty
Milioni sabini niko wapi wapi
Mvua ya mapenzi imenilowesha
Na wala sitaki kujifuta eh
Mchuchu hana uoga
Anaweka neti kwa mguu baada ya kuoga
Anajipinda kama uyoga
Vikuku na mdomo ameutoga
Niko chini ya kifua chake, nabembeleza
Kiuno ndani ya mikono yangu, nabembeleza
Niko chini ya kifua chake, nabembeleza
Kiuno ndani ya mikono yangu, nabembeleza
Oooh uwooo, wuwuwuwu.. punguza kunitorture
Oooh uwooo, aki ya mama wataniokota

Aki ya mama sijamwona mwanamke
Wa kuzidi mapenzi na ladha yake
Silazi kuku na vifaranga vyake
Waseme waseme hata wadange mwake
All eyes on us, hata safari za dukani utapanda ndege
All eyes on us, hizo kelele zao kama za wapiga debe
All eyes on us, hata kwenda bafuni baby utapanda ndege
All eyes on us
Oooh uwooo, wuwuwuwu.. punguza kunitorture
Oooh uwooo, aki ya mama wataniokota
Oooh uwooo, wuwuwuwu.. punguza kunitorture
Oooh uwooo, aki ya mama wataniokota
Niko chini ya kifua chake, nabembeleza
Kiuno ndani ya mikono yangu, nabembeleza
Niko chini ya kifua chake, nabembeleza
Kiuno ndani ya mikono yangu, nabembeleza
Watch Video
About Bembeleza
More BELLE 9 Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl