Weka Weka Lyrics
Weka Weka Lyrics by BELLE 9
I know how I feel eh
I know what you feel eh baby
Nimekuweka weka, weka weka
Na mi niweke weke, weke weke
Nimekuweka weka, weka weka
Na mi niweke weke, nideke deke
Madaktari wameshindwa, ma engineer wameshindwa
Matabibu wameshindwa, mapadre na masharti yao
Walishakutuma wapenzi wao, ooh
Niteke niteke, nideke niweke
Nisahau upweke
Nipate japo nami angalau
Mapenzi yalileta madharau (I love you)
Niteke niteke, nideke niweke
Nisahau upweke
Nipate japo nami angalau
Mapenzi yalileta madharau
Doctor puliza kidonda
Mapenzi yalinipa majeraha
Nikakosa wa kunipa raha
Baby, yeah yeah yeah
Nimekuweka weka, weka weka (Ndani ya moyo)
Na mi niweke weke, weke weke (Ndani ya moyo)
Nimekuweka weka, weka weka (Ndani ya moyo)
Na mi niweke weke, nideke deke (Ndani ya moyo)
Feel yeah, baby wanna feel love yeah
Feel love yeah baby
Feel yeah, baby wanna feel love yeah
Feel love yeah baby
Wherever you want will be there for you
Whatever you need I will be there for you
Wherever you be so be be there for you baby

Watch Video
About Weka Weka
More BELLE 9 Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl