Maokoto Lyrics by BILLNASS


Wee zombie sikutaji humu eeehh
Allooo
Shiiii

Nimemwacha mama nyumbani nimeacha madogo
Nimemwacha bebi nyumbani nimeacha urodaa
Nimemwacha baba nyumbani nimeacha wazee
Kunanuka shida nyumbani oohhooo
Kwaiyoo boss mmmhhh
Zingatia maokoto
Alloooo
Si ndio boss
Zingatia maokoto


Naenda kama kichwa ujue nikifelisha hakuendeki
Maliwato
Nisipofanikisha itaota majani ile njia ya
Maliwato
Tumetoka far away tumekuja kutafuta hela
Nishamwaga jasho yote nataka hela
Tumetoka far away tumekuja kutafuta hela
Usilete maneno maneno
Naomba hela yangu
Alloooo
Nasema boss nataka changu
Eeeehhh oyaaahhh eeehhh
Naomba hela yangu

Nakuheshimu boss nataka changu
Kichwa change hakiko sawa
Nilipe nisepe
Baba mwenyenyumba ananidai
Nilipe nisepe
Ooohhh leo siko sawa
Nilipe nisepe
Usitake tushikane matai
Nilipe nisepe
Boss boss izo noti noti kata pasu langu
Zingatia maokoto
Jua langu mvua yangu aisee nipe changu
Zingatia maokoto
Boss boss izo noti noti kata pasu langu
Zingatia maokoto
Jua langu mvua yangu aisee nipe changu
Zingatia maokoto
Tukigawana majengo mimi naenda jela
We nzee
Nikiongea kwa vitendo mtaniona mi msela
We nzee
Naenda kama kichwa ujue nikifelisha hakuendeki
Maliwato
Nisipofanikisha itaota majani ile njia ya
Maliwato
Tumetoka far away tumekuja kutafuta hela
Nishamwaga jasho yote nataka hela
Tumetoka far away tumekuja kutafuta hela
Usilete maneno maneno
Naomba hela yangu
Alloooo
Nasema boss nataka changu
Eeeehhh oyaaahhh eeehhh
Naomba hela yangu

Nakuheshimu boss nataka changu
Kichwa change hakiko sawa
Nilipe nisepe
Baba mwenyenyumba ananidai
Nilipe nisepe
Ooohhh leo siko sawa
Nilipe nisepe
Usitake tushikane matai
Nilipe nisepe

Watch Video

About Maokoto

Album : Maokoto (Single)
Release Year : 2023
Added By : Farida
Published : Jul 21 , 2023

More BILLNASS Lyrics

BILLNASS
BILLNASS
BILLNASS
Bye
BILLNASS

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl