Jike shupa Lyrics by ALIKIBA

Nipeleke kwa mganga , na mimi nataka wanga
maana mapenzi yamenikoroga kinoma,
anachanje chale mwili mzima,
nisimkumbuka ata jina, yule hasidi
gaidi wa moyo wangu

haya mapenzi basi, nimeyavulia shati,
kupendwa ni ajira, namimi sina vyeti
kule kukusifia, mabaya kukufichia,
mbele ya mama, oh baba, oh mama , oh lala

mapenzi si ubondia, najikaza uku nateketea,
bora nijivue, nisijisumbue

eiii,
sasa basi , inatosha, nimekopesha mwili wangu,
bila kuogopa ,
kumbe jike shupa ,
ata kwenye karata, uku unaruka kila sehemu umeshapita,
sasa basi..

ulijidai kunipima akili  kwamizani
kuniendesha kama toy, kukosa nuru kutwaa kuzama,
ukanikinai na aibu kunitia hadharani,
kuiniona sifahi masikini nimekosa nini.

(haya mapenzi basi, nimeyavulia shati,
kupendwa ni ajira, namimi sina vyeti)X 2
kule kukusifia, mabaya kukufichia,
mbele ya mama, oh baba, oh mama , oh lala

(mapenzi si ubondia, najikaza uku nateketea,
bora nijivue, nisijisumbue) 
eiii,
sasa basi , inatosha, nimekopesha mwili wangu,
bila kuogopa ,
kumbe jike shupa ,
ata kwenye karata, uku unaruka kila sehemu umeshapita,
sasa basi

Inauma 

Music Video
About this Song
Album : Jike Shupa ,
Release Year : 2016
Copyright : ©2016
Added By: Its marleen
Published: Apr 22 , 2020
More Lyrics By ALIKIBA
Comments ( 0 )
No Comment yet