
Unaendeleaje Lyrics
...
Unaendeleaje Lyrics by ZABRON SINGERS
Unakumbuka jinsi ulikuwa mtu mzuri
Unaendeleaje eeeh
Tukakuita church boy, tena mtu wa mungu
Unaendeleaje eeeh
Unakumbuka jinsi ulikuwa mtu wa wema
Unaendeleaje eeeh
Takakuita church girl, tena mtu wa mungu
Unaendeleaje eeeh
Mtu wa watu mwenye kujali, mwenye
Upendo mwingi
Ulifurahisha wanadamu na mungu
Wa mbinguni
Nawaza naumia safari ni ya wote
Unaendeleaje
Furaha yangu mimi nione tupo wote
Safari ni pamoja
Unaendeleaje na maombi yako kwa mungu
Unaendeleaje eeeh
Unaendeleaje na ibada yako kwa mungu
Unaendeleaje eeeh
Unaendeleaje na sadaka zako kwa mungu
Unaendeleaje eeeh
Unaendeleaje na imani yako kwa mungu
Unaendeleaje eeeh
Unaendeleaje
Unaendeleaje eeeh
Unaendeleaje eeh eeh eeh
Unaendeleaje eeeh
Unakumbuka enzi ulikuwa shemasi wetu
Unaendeleaje eeeh
Mzee wa kanisa, mchungali bawabu wetu
Unaendeleaje eeeh
Je, wakumbuka jinsi ulipenda neon la mungu
Unaendeleaje eeeh
Kwenye makambi kanisani pote tulikuona
Unaendeleaje eeeh
Waendeleaje na ndoa ya ujana
Wa siku zako
Ulitutia na moyo tutumike
Kwa ujasiri
Nawaza naumia safari ni ya wote
Unaendeleaje
Furaha yangu mimi nione tupo wote
Safari ni pamoja
Unaendeleaje
Unaendeleaje eeh eeh eeh
Unaendeleaje na maombi yako kwa mungu
Unaendeleaje eeeh
Unaendeleaje na ibada yako kwa mungu
Unaendeleaje eeeh
Unaendeleaje na sadaka zako kwa mungu
Unaendeleaje eeeh
Unaendeleaje na imani yako kwa mungu
Unaendeleaje eeeh
Unaendeleaje
Unaendeleaje eeeh
Unaendeleaje eeh eeh eeh
Unaendeleaje eeeh
Unaendeleaje
Unaendeleaje
Mchungaji wangu
Unaendeleaje
Unaendeleaje
Rafiki yangu
Unaendeleaje
Unaendeleaje
Mshiriki mwenzangu
Unaendeleaje
Unaendeleaje
Kiongozi mwenzangu
Watch Video
About Unaendeleaje
More ZABRON SINGERS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl