Achia Remix Lyrics
Achia Remix Lyrics by YJ
Yj Tz Feat Nay wa Mitego x Stamian x Mr T Touch - ACHIA REMIX lyrics
Wananiita Samata, Mr Goa, Mr Genki
Msanii pekee mwenye account kwenye power benki
Mnahitaji connections sio bundles we mtoto ni msoto
Mnakosa kazi hadi kazi moto
Mkiona nimewaka usiniwashe
Stimu zikidondoka msizidake
Wale magang gang msinifute
Jeshi la mtu mmoja nawa J yaani mwake babake
Wanangu mnakunywa ngumu kunyweni mnaogopa nini?
Mungu anaonaga roho wala haonagi maini
Kutoka Moro town, bushi bushi mgeita
Nishamaliza hii verse Bobo please mwiite waiter
Hata nikihonga billioni eeh
Sibaki kilioni eeh
ATM kibindoni eeh
Ina billioni eeh
Achia, usifunge mkanda
Achia, hapa hakuna majanga
Achia, ni kushuka kupanda
Achia, aii mamacita
Wengine wameshatotoka-ka
Wengine wamegoma kuondoka-ka
Wengine wameshadoro
Wengine wamesahau walipotoka
Nina mudi ya kutunza leo
Juu yake akatike nimpe cheo
Aya peke ka pekeo
Aya, aya kula pembejeo
Matikitaka tikikata
Mama na tikita
Matikitaka nawe na matikita
Mama na tikita
Matikitaka nawe na matikita
(Mama na tikita)
(Matikitaka nawe na matikita)
Hata nikihonga billioni eeh
Sibaki kilioni eeh
ATM kibindoni eeh
Ina billioni eeh
Achia, usifunge mkanda
Achia, hapa hakuna majanga
Achia, ni kushuka kupanda
Achia, aii mamacita
Haya midondo hii nishapagawa
Fisi anakula bila kunawa
Ayo pusha, tembe za dawa hakuna kulala
Yaani kama sherehe haha we on fire
Okey moja moto, moja baridi wape mabinti
Tingisha kalio nikuone juu ya kiti
Kwani vipi? Hautaki
Ukishalewa unashika madem matiti(Wewe)
Mchana tuna visago, usiku tunalewa(Lewa lewa)
Tunavuja jasho hatutaki cha kupewa(Pewa pewa)
Simsima, who got the keys to my bima
Waiter leta bill kuna watu wamezima
Hata nikihonga billioni eeh
Sibaki kilioni eeh
ATM kibindoni eeh
Ina billioni eeh
Achia, usifunge mkanda
Achia, hapa hakuna majanga
Achia, ni kushuka kupanda
Achia, aii mamacita
Watch Video
About Achia Remix
More YJ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl