Hunijui Lyrics

YOUNG KILLER Feat BEN POL & DULLY SYKES Tanzanie | Hip Hop, RnB

Hunijui Lyrics


Mmmmh.  Bin Laden. Heeeeee!
Ooooh. Wanene! Hahhahahh!

Myenye macho haambiwi tazama askari
We kipusa nipitie mbali
Ya musa mpe musa hayamuhusu kaisari
Kila mchezo kwangu fainali
Magumu huyapitii peke yako
Hakuna ambaye hajatoka mbali
So usiniletee pressure na kweli
Mipango bila pesa ni kelele
Mwana sesere ongeza kunitukana
Maana unamuhukumu kifo mtu aliyetaka kujiua
Ikashindikana
Nishasema mama
Binadamu wabay haisia anaweza ziba mdomo na akajifanya hasikii

Ndolo vile tunaishi nao
Mikunjo ndo nembo yao
Na lengo kupiga bao

Anhaa vizuri havitaki pupa
Vinataka simpoo
So leo kesho kuanguka mi bado nipo
Napata ninachotafuta
Nakosaje diko
Nimwendo wa kuvunja fupa maana meno iko oooo

Wacha maneno goroka
Usifanye wanijua hebu acha
Kuropoka heey
Eti kabla sijatoka unasama
Unanijua hapo ndipo napochoka ooo me na say
Heya
Heya
Heya
Ngoma yaja

 

 

Leave a Comment