Hatuna Kesi Lyrics by YOUNG KILLER


Aah first of  all sina bahati
Ila poa na isije kwangu safii
Kwani siku zote hua naishije
Zingua now upigwe uaibishwe we staki
Nikupe moyo manake mimi nife we ubaki (Eh!)
Sikosoi haki ila inatesa acheni
Nasikia aliyegundua pesa pia alikufa na madenii
Sasa si ujinga wa wazi
Kutumia ngazi chini ya uvungu
Wakati hizi surprise kabla hata ya Harmonize na mzungu
Ok shoutout to my all friends who became a family
Hatufanyi wa mziki trend
Na hii ndio kauli mbiu kamili
Na ukifahamu hii haushangai hawa pimbi
Wakinitukana ni kawaida kama hizi ndoa
Za bibi na vijana
Nishakua sasa na maana ya kupata ni kutumia
Tena hali ya sasa hata kwa buku unapata beer
Na supu ukitaka pia
We mchuchu uliedata skia
Mi naishi ki rasta japo ni virasta vya kuzugia

Kila sehemu hamuoni kume stuck
Ugumu wa game ndo umefanya
Hadi kamillion amekua kalaki
So Waambeni hawa watoto wakuwe waache kucheza
Nyimbo zao ambazo ukisema ununue mia tisa inapendeza

 [CHORUS]
Oh green light unataka  au hautaki
Mkiwaka tunawapa safii
Tupo guda guda tena mbele ya wakati (sio kesi)
Tushapuuza stress hatutaki (Hatuna)
Hatuna Hatuna Hatuna Hatuna
Ooo yeahh  yeah yeah yeah
Hatuna Hatuna Hatuna Hatuna
Hatuna kesi na yoyotee

Hakuna superstar Bongo
Lete ustar wanakunyea
Utapigwa dongo watakukataa
Kwa shombo watakupondea
Watoto wa uongo kwenye Makala
Za umbea Na huo mjadala utakua mchongo
Kwa watu wa masuala ya kuongea

Endelea ku-push push
Siokazi kuuza kush bab
Hamuwezi hu-gush gush
Uswazi kuna wazushi mob
Town hadi bush bush
Mduwanzi haunigusi babu wahuni tuna tusu- tusua
Hatuifadhi chuki babu

Natoka chocho mtu mbaya
Naingia kati dawaya moto ni moto
Cha ajabu fire hutamia maji
Na ropo ropo waso haya hujitia ushababi
Nyie watoto tuu mnastahiki
Juma nyosso au billnandy

Mabingwa wa majungu na
Yasio ingiza noti mifukoni
Mbu hapewi sifa kwa kupigwa kofi mgongoni
Hip hop misingi kuifuata nikutafuta njaa
Nishafeli mara nyingi sijaiacha au kukata tama
Nipo kitaa na wahuni hii
Mafanikio
Suti wanainukisha bangi
Ni kama chupi hakikisha hawaijui rangi
Usawa ukikaba tunalia kwa baba jesca
Tunakaza party na inajaza hakuna anaetumia pesa

[CHORUS]
Oh green light unataka au hautaki
Mkiwaka tunawapa safii
Tupo guda guda tena mbele ya wakati (sio kesi)
Tushapuuza stress hatutaki (Hatuna)
Hatuna Hatuna Hatuna Hatuna
Ooo yeahh...  yeah yeah yeah
Hatuna Hatuna Hatuna Hatuna
Hatuna kesi na yoyotee

Hatuna Hatuna Hatuna Hatuna oyeaaah...
Ilo ndo tatizo sugu so waabieni wana waweke traffic
Nyumba za wageni maana kule watu wanagongana
Hatuna kesi na yoyotee

 

Watch Video

About Hatuna Kesi

Album : Hatuna Kesi (Single)
Release Year : 2018
Added By : Afrika Lyrics
Published : Dec 14 , 2018

More YOUNG KILLER Lyrics

YOUNG KILLER
YOUNG KILLER
YOUNG KILLER

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl