Yalaaniwe Mapenzi (Why) Lyrics
Yalaaniwe Mapenzi (Why) Lyrics by BARNABA
Yelee yelee, ah who
Don't waste my time
Live your life if you don't love me
Mapenzi gani unani-stimulize
Kutwa hupatikani kwenye line
Nikiuliza unapanick why?
Why mpenzi
Muda mwingine najiuliza why?
Kivipi unanikosea
Kama misamba nabinuka why?
Ni wapi sijafikia
Ashanilaza sana macho kodo
Nikiamini atarudi on time
Nikimuuliza uko wapi nafika mara moja
Nimepita sehemu one time
Nilijinyima kuvaa, nilijinyima na kula
Ili mradi apendeze yeye tu
Nikajitenga na ndugu, nikamvumilia bubu
Ili niwe na yeye tu
Nilikupa moyo wangu ila wapi?
Wewe ukanilipa mengi makapi
Nilikupa penzi ukanilipa chozi
Yalaaniwe mapenzi
Why why why, why why love
Why why why, why why love
Why why why, why why love
Yalaaniwe mapenzi
Kama kupenda ni dhambi
Niyo wa motoni, tena jehanamu
Kama kupenda si dhambi
Mi si wa motoni, sio wa jehanamu
Mie mlevi nimelewa penzi lake
Bado kuyumba yumba tu
Licha sijiwezi, nikanywa roho yake
Nikiamini atakuwa wangu tu
Nikimwambia tutoke wote hataki kwenda
Wakati nje ndo mambo anayapenda
Mie kutwa na vilemba
Ndani kama mke wa mpemba
Maharagwe si choroko
Lazizi tena mbona twaliota boko
Yangu sio mpengoso'
Tumepanda apple mbona tuvune korosho
Nilikupa moyo wangu ila wapi?
Wewe ukanilipa mengi makapi
Nilikupa penzi ukanilipa chozi
Yalaaniwe mapenzi
Why why why, why why love
Why why why, why why love
Why why why, why why love
Yalaaniwe mapenzi
Watch Video
About Yalaaniwe Mapenzi (Why)
More BARNABA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl