Moto Lyrics
Moto Lyrics by WALTER CHILAMBO
Sijawahi ona zaidi yako Shammah
Sijawahi kuona kama wewe Baba
Sijawahi kuona sifa za lako jina
Simba kabila la Yuda, ooh mwamba
Unayefanya maajabu yaliyoshindikana
Kwa jina lako eeh
Unayetenda yasiyowezekana
Ayee, yee yee
Wewe unaye ponya viwete wakatembea
Wewe unayeponya vipofu wakaona
Tena unayeponya viziwi wakasikia
Na mimi masikini wanipa habari njema
Yaani mambo, moto moto
Oooh moto, kila kona ni moto moto
Fire, eeh moto
Yaani mambo, moto moto
Yaani kwako moto, moto
Yesu moto moto(Moto moto)
Mambo, eeeh moto
Kila ninapopiga goti, unanijibu Baba
Ninapomwaga machozi, unanifuta Baba
Hata wakati wa shida, taabu na yale mabaya
Hujawahi kuniacha Baba, daima wewe upo upande wangu
Nitalishika neno lako lisiniponyoke
Nitaziimba sifa zako daima milele
Daima milele, lele lelele
Unayefanya maajabu yaliyoshindikana
Kwa jina lako eeh
Unayetenda yasiyowezekana
Ayee, yee yee
Wewe unaye ponya viwete wakatembea
Wewe unayeponya vipofu wakaona
Tena unayeponya viziwi wakasikia
Na mimi masikini wanipa habari njema
Yaani mambo, moto moto
Oooh moto, kila kona ni moto moto
Fire, eeh moto
Yaani mambo, moto moto
Yaani kwako moto, moto
Yesu moto moto(Moto moto)
Mambo, eeeh moto
Yesu(Moto moto)
Kila kitu kwake moto(Moto)
Amewasha,(Moto moto)
Eeeh(Moto)
Roho mtakatifu(Moto moto)
Ametawala(Moto)
Yaani mambo ni(Moto moto)
Mapepo yanadanganya (Eeeh moto)
Ah leo Baba uinuliwe(Uinuliwee)
Yesu uinuliwe(Uinuliwee)
Uinuliwe(Uinuliwee)
Wewe(Uinuliwee)
Baba wa huruma(Uinuliwee)
We ni mwingi wa rehema(Uinuliwee)
We ni mwingi wa neema(Uinuliwee)
Baba eeh(Uinuliwee)
Uinuliwe(Uinuliwee)
Moto moto(Uinuliwee)
Moto moto, moto
Moto moto, eeeh moto
Moto moto, moto
Moto moto, eeeh moto
Watch Video
About Moto
More WALTER CHILAMBO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl