Kinomanoma Lyrics
Kinomanoma Lyrics by NEDY MUSIC
Se, secreto de amori
Anavyonipambaga kwa moyo
Napandisha na mori
Te, ute si simali
Kanapenda muhogo wa jang'ombe
Kalivyo ka shari
Zipo, ulingoni pwachapwacha
Kananivuruga yangu kamedulla
Mpigo, hakika limenipata
Nachezesha dichi futa limefura
Nampaga rungu tamu nampolea
Bila maji mazito deki naendelea
Akipapasa nyundo mi nagongelea
Eyaaa, eeh...
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee, iyee
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee, iyee
Toto lanichapa mijeledi
Amenifumba macho nyuma sirudii
Kwenye wimbo wangu ye ndo melody
Kwenye kifungo chake mimi nimeridhi
Mama I wanna let you know
Sichoki I need some more
Nikoleze nipe hivyo hivyo
Ooohh...
Hataki kunikosa hata dakika
Kama ni vita bunduki atashika
Akifika kuna sign na analipa
Iyee, iyee iyee
Nampaga rungu tamu nampolea
Bila maji mazito deki naendelea
Akipapasa nyundo mi nagongelea
Eyaaa, eeh...
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee, iyee
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee, iyee
Nikiita mamacita
Sinyorita leo
Nataka kuwika jogoo
Nifiche fiche
Ukifika unavyoniita
Kama mimi ndo baba yoyo
Yaani bonge la toto
Linaleta vanga kila chocho
Yaani kisanga moto
Linaleta vanga kila chocho
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee, iyee
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee
Kinomanoma kinoma iyee, iyee
Watch Video
About Kinomanoma
More NEDY MUSIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl