Rada Safi Lyrics
Rada Safi Lyrics by TIMELESS NOEL
Rada safi na ibambe
Wathii wajinyc
Kwa Yesu na ibambe
Mayengs wajinyc
Haya basi cool down(Acha pupa)
Cool down(Cool down nanii)
Haya basi cool down(Wewe)
Cool down
Napenda tamuu
Kwa Yesu tamuu
Niko ndani kwa Yesu, are you?
Rada safi maisha safi buda come thru'
Ndani ya God na devil tunampiga hachew
Cheki life simple patu
Na mbogi tuko ndani, are you?
Better end..
Abujubujubujubuju
Watoi hapa ndani pia kuna nafasi
Christ alisema sisi wote watoi
Rada safi kwa Yesu devil makasi(Cool it)
Better better stick to the plan(Cool it)
Everything good nuthin gwan(Cool it)
Biblicaly you are the one (Cool it)
Rada safi na ibambe
Wathii wajinyc
Kwa Yesu na ibambe
Mayengs wajinyc
Haya basi cool down(Acha pupa)
Cool down(Cool down nanii)
Haya basi cool down(Wewe)
Cool down
Mini mini mini mini mani more
Ni mimi tu na wewe you can ask many more
Hatuko tu za jaba but atleast I know
Mashash na manyaru ukileta I NO
Basi mmh aah, shetani tu viboko
Anabaki wah, anakuna tu kisogo
Mmmh aah, na Yesu ndio kigogo
Hapa cool vibes tu ni amani hakuna zogo
Wakivuta bangi tunavuta hewa
Wakikunywa makali tunakunywa maji
Wanasema ooh ooh, tunasema God ooh
Come on kwa Yesu hapa rada safi
Aah awinjo ber
Kwa Yesu ber
Siwezi jibamba hapa na wewe uko nnje
Rada safi na ibambe
Wathii wajinyc
Kwa Yesu na ibambe
Mayengs wajinyc
Haya basi cool down(Acha pupa)
Cool down(Cool down nanii)
Haya basi cool down(Wewe)
Cool down
Watch Video
About Rada Safi
More TIMELESS NOEL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl