Nare Lyrics

TIMELESS NOEL Feat BEN C & X PEY Kenya | Gospel,

Nare Lyrics


Nikikam thru wananiita(Nare)
Ju kwenye scripture nakuwanga(Nare)
Kama kwa kutenda dhambi we hukuwa(Nare)
Ukubali Christ usiburn ka(Nare)

Nikikam thru wananiita(Nare)
Ju kwenye scripture nakuwanga(Nare)
Kama kwa kutenda dhambi we hukuwa(Nare)
Ukubali Christ usiburn ka

Buda pale hakutakuwa na cha gang gang
Utakuwa solo ukikuna ma pain pain
Hakuna hero pale hakuna makmende
Utawika pale hakuna cha kumaintain

We tu zidi kuzishikisha
Pombe zidi kuziitisha
Seme tu mi ninakutisha
Blue ticks zidi kunikulisha

Hugundui nakupeleka na rieng
We unataka tu kuspin na mayeng
Unafeel uko safe ju uko na gang
Kuja kwake Christ huku pia kuna sheng'

Nakupeleka na mutaratara 
Christ is the way yaani yesu ndiye barabara
Gang wakisema umefyatu umeparara
Waonyeshe huku kuna Odi na Mbwayaga

Nikikam thru wananiita(Nare)
Ju kwenye scripture nakuwanga(Nare)
Kama kwa kutenda dhambi we hukuwa(Nare)
Ukubali Christ usiburn ka(Nare)

Nikikam thru wananiita(Nare)
Ju kwenye scripture nakuwanga(Nare)
Kama kwa kutenda dhambi we hukuwa(Nare)
Ukubali Christ usiburn ka

Na hiyo nare itakuwa ile OG
Itakuwa inaburn maksudi(Shwaa)
Utaburn buda utakuwa kuni
Na ni ukweli hii si kitu ninabuni(Aaah)

Kwake Christ me nimestand firm(Aaah)
Na kuna nafasi ka unadai kam(Aaah)
Ebu ngoja kwanza nikaconfirm(Aaah)
Nafasi ni mingi kunichocha

Nakupeleka na mutaratara 
Christ is the way yaani yesu ndiye barabara
Gang wakisema umefyatu umeparara
Waonyeshe huku kuna Odi na Mbwayaga

Nikikam thru wananiita(Nare)
Ju kwenye scripture nakuwanga(Nare)
Kama kwa kutenda dhambi we hukuwa(Nare)
Ukubali Christ usiburn ka(Nare)

Nikikam thru wananiita(Nare)
Ju kwenye scripture nakuwanga(Nare)
Kama kwa kutenda dhambi we hukuwa(Nare)
Ukubali Christ usiburn ka

Nare nare nare nare
Nare kwa nare 
Nare nare nare nare
Nare kwa nare 

Nikikam thru wananiita(Nare)
Ju kwenye scripture nakuwanga(Nare)
Kama kwa kutenda dhambi we hukuwa(Nare)
Ukubali Christ usiburn ka(Nare)

Nikikam thru wananiita(Nare)
Ju kwenye scripture nakuwanga(Nare)
Kama kwa kutenda dhambi we hukuwa(Nare)
Ukubali Christ usiburn ka(Nare)

Nare, nare, nare, nare

TIMELESS NOEL (7 lyrics)

TIMELESS NOEL is a Kenya professional dancer. He started Dancing when he was a little innocent boy serving in church. He thereafter took his dancing skills to a professional level in 2007 where he found an award winning dance crew called AIRFORCE DANCE CREW.
While in Airforce, Timeless...

Leave a Comment