Mr Boniventure Lyrics
Mr Boniventure Lyrics by STAMINA
Call me Mr Boniventure
Mr, Mr, Mr....Mr Boniventure
Siwezi kuacha hiphop no, over my dead body
Kwenye rap mwenye nyumba mpangaji leteni kodi
Am the street password naifungua na fish code
So hawa mapaka rapper hawawezi meza panya rodi
Mnawapa ukubwa wana udogo wa fikra
The gal flow ila tatizo ndo hawajui kuandika
Iko wazi na huu ndo ukweli usiojificha
Ukitoa Roma na Fid hakuna rapper wa kunitisha
Kutoka Ghetto mpaka pande za dunia
Mpaka depo ma afande wanatuskia
Segerea teko aah
Ukitaka turudie tena mwanangu
Kutoka Ghetto mpaka pande za dunia
Mpaka depo ma afande wanatuskia
Segerea teko wanetu wanatuaminia
Tukizipata tujinyime ni mapande ya ngamia
Na hii sio kush kush sio tye
Washa kush kush tupae
Ulingoni kama shivo Mr sush sush so high
Wazushi zushu akataa piga sup supu
Marapper wa kijijini narudisha bush bush wakae
Hata ningekuwa demu singekuwa najichubua
Ningechubua sana ukuta ATM pesa kuzichukua
'Wanawake tunaweza' ni msemo wa wanawake wenye akili
Ila nyie maslayqueen gaweni sehemu za siri
Ukifa masikini watasema alikufa na ikaisha
Ukifa tajiri watasema kuwa alipoteza maisha
Tafta hela, ili ukifa usiitwe marehemu
Mpaka kuitwa hayati uwe na nafasi flani sehemu
Bas bas kama Barca one touch bila papara
Dimbani kazi chafu ya Nick bangala
Bila wasi nakomesha wa masakala
Leo rapper niko na --
Nachosha marafiki wachoyo
Wanaoshindwa kunipa hela wanakesha kunipa moyo
Ndo maana nikizipata ni mitungi juu ya meza
Maana pesa mnazotafuta sijui nani alizipoteza
Mwenye hela hana imani, mwenye imani hana hela
Pesa huja kwa hisani ila sio kwa hisani ya kabwela
Sina rafiki nimezungukwa na washikaji
Siwaonagi kwenye dhiki nawaonaga kwenye ulaji
Nimebeba bendera ya Molo town begani
Tano kwa masela saluni ipo kichwani
Najua nikifa lazima mtashika tepe
Na ndo maana sina flood naispiss vicheche
Alafu mwanaume lijali siwezi kuendeshwa na dem
Nikiendeshwa ujue ni taxi labda naenda tu sehemu
After Yesu swalo Musa alikuwaga ni marafiki
So unanipoletea ushkaji azima ndo ujue ni wa vipi
Heri yako unabeba mimba na una mpango wa kutoa
Kuna mwenzio ana kisafi na hawezi kuibeba ndoa
Mi ni mr mr mr mr Boniventure
Niite preacher preacher, preacher, preacher mr recher
Mr, Mr, Mr....Mr Boniventure
Mr, Mr, Mr....Mr Boniventure
Mr, Mr, Mr....Mr Boniventure
Mr, Mr, Mr....Mr Boniventure
Watch Video
About Mr Boniventure
More STAMINA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl