Kaskizia Lyrics
Kaskizia Lyrics by SAILORS
Ni noma sana
Hii ni kama imepikwa na maji ya mtaro bana
Hii ni ya Sailors bana, Boondocks bana
Wameshikana
Ati banger banger hii nayo ni banger
Toto fiti rarua, ah tunafaana
Mbleina leta zogo, ah tunavaana
Ju ju ju
Tulikam juzi juzi waka(Kaskizia)
Ka ni dem na umebeba uta(Kaskizia)
Manzi yako ka ni mbleina ata(Kaskizia)
We ni vajo jilete makeja uta(Kaskizia)
Eeeh kaskizia(Kaskizia)
Eeeh kaskizia(Kaskizia)
Eeeh kaskizia(Kaskizia)
Eeeh kaskizia, si ni ku (Kaskizia)
Oya oya ninadai riz ya goro
Ninadai peddy ataniguza ndani ya goro
Lima maddam chaser nina kitambla
Shika utam nyuma una kibiangla
Dunga masilver mbogi ina udiang'a
Roga mchawi jua kuna uganga
Mpenda gwati kwani we ni mgangla
Tutakaskizia na mihadarati bibibi
Vijana hapa rungu na punyeto ni bbb
Paka lotion na Arimis ama upake bbb
Mmmh okey, sa itabidi umetii
Tangu mapunyeto sai niko mafutani
Tangu stori ya rungu unadhani ni mashetani
Mangeus wakijipa aki walai nimejihami
Niko juu ya majugu na turi hapa sihami
Banger banger hii nayo ni banger
Toto fiti rarua, ah tunafaana
Mbleina leta zogo, ah tunavaana
Ju ju ju
Tulikam juzi juzi waka(Kaskizia)
Ka ni dem na umebeba uta(Kaskizia)
Manzi yako ka ni mbleina ata(Kaskizia)
We ni vajo jilete makeja uta(Kaskizia)
Eeeh kaskizia(Kaskizia)
Eeeh kaskizia(Kaskizia)
Eeeh kaskizia(Kaskizia)
Eeeh kaskizia, si ni ku (Kaskizia)
Odi wa Murang'a nitakuzima kwa mtobo mmoja
Tukikosa lotion kuna ikodo ngoja
Tu nizichanganye kwa kithono
Nyoti zangu chafu ka maji ya mtaro
Kuja na mngeus nikufanyie gonori things
Inspekta Kimeu wanakemba minority
Habomuke kumwaga nnje ni mediocrity
Genge la Boondocks limeleta calamity
Ka ngeus amebeba anathigitha morigo
Sina kutu leo nimechange oilo
Na nitachimba kunuke mayai boilo
Thobotha, thobotha, uchome coilo
Kabisa enyewe twawatisha
Ngoma zetu zakupea mamotisha
Kwenye show tunakill twawakilisha
Na kadem kakijipa kamilisha
Kaskizia hii nayo ni ya ma dotcom
Uone chizi zile enzi za Sodom
Ka ni ngoko tunakula bila kionjo
Hapa ukuje utaingiza hadi kiongo
Ati banger banger hii nayo ni banger
Toto fiti rarua, ah tunafaana
Mbleina leta zogo, ah tunavaana
Ju ju ju
Tulikam juzi juzi waka(Kaskizia)
Ka ni dem na umebeba uta(Kaskizia)
Manzi yako ka ni mbleina ata(Kaskizia)
We ni vajo jilete makeja uta(Kaskizia)
Eeeh kaskizia(Kaskizia)
Eeeh kaskizia(Kaskizia)
Eeeh kaskizia(Kaskizia)
Eeeh kaskizia, si ni ku (Kaskizia)
Si hawa waroro wanadai tu ororo
Wanadai wathomothwe na uroro
Ka kiembe sema tukiwa kiroro
Akikam thru' we tunza ka goro
Chorea utakaskizia tumboni
Kazi yako ni kuchezea tu boli
Nipige chenga hadi nifunge yangu goli
Hadi maneiba watatii ni kungori
Aah uwachome na kingoto
Umekwama kwa jam chingri kibarley kia cham
Ninatambla majani ndo nipite na maddam
Ni majug na konyagi nisanif mbili ziniturn
Shika mwalalo jua leo kuta burn
Nikupita nayo jo ki kiutaliban
Kuruweng mjulubeng shash shash na kidem
Kuruweng mjulubeng shash shash na kidem
Ati banger banger hii nayo ni banger
Toto fiti rarua, ah tunafaana
Mbleina leta zogo, ah tunavaana
Ju ju ju
Tulikam juzi juzi waka(Kaskizia)
Ka ni dem na umebeba uta(Kaskizia)
Manzi yako ka ni mbleina ata(Kaskizia)
We ni vajo jilete makeja uta(Kaskizia)
Eeeh kaskizia(Kaskizia)
Eeeh kaskizia(Kaskizia)
Eeeh kaskizia(Kaskizia)
Eeeh kaskizia, si ni ku (Kaskizia)
Watch Video
About Kaskizia
More SAILORS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl