Cheza Lyrics

RJ THE DJ Feat CHRISTIAN BELLA Tanzanie | Bongo Flava,

Cheza Lyrics


Rj the Dj, all day baby

Penzi lina meno limeuma
Lina ya mbele na ya nyuma
Ukipata wa kukutafuna 

--sina shaka mama
Kila chonde chonde
Saa na tochole wasijue
Jamani

Eti baba akiwa anapodoa
Wakijua na wanatoboa
Midomo juu kwanza kuzoboa
Sisi ni machuna kama ndoa

Mama, wapige tatararira
Mpaka chini wakachuna
Maneno si kifaa dura
Mimi na wangu vimara
Wameshasema sana 
Mwisho wa siku nitazikwa naye

Cheza inama, cheza inuka
Cheza inama, cheza inuka
Cheza inama, cheza inuka
Cheza inama, cheza inuka

--------------------

--------------------

Eti baba akiwa anapodoa
Wakijua na wanatoboa
Midomo juu kwanza kuzoboa
Sisi ni machuna kama ndoa

Mama, wapige tatararira
Mpaka chini wakachuna
Maneno si kifaa dura
Mimi na wangu vimara
Wameshasema sana 
Mwisho wa siku nitazikwa naye

Cheza inama, cheza inuka
Cheza inama, cheza inuka
Cheza inama, cheza inuka
Cheza inama, cheza inuka

Leave a Comment