Kinoma Lyrics

NIKKI WA PILI Feat YOUNG LUNYA Tanzanie | Bongo Flava,

Kinoma Lyrics


I gotta hate y'all nigga 
Yeah, okey

Hela kama sina mi huwanga nadunduliza
Nikijumlisha ya hasira inakuwa kinoma island
Dem kama hataki mi huwaga nahonga sana
Na akijaga maghetoni namla kinoma island

Harusi kuchangia ni hiari
Lakini ona vile uyo mtu atakudai kinode island
Kodi sijashindwa kulipa nimechelewa
Unataka kunitolea vitu ile kinoma

Sisi machizi tunaacha
Ila madem wanaacha ile kinoma noma
Sisi machizi tunahonga
Ila madingi wanahonga kinoma island noma

Noma noma, jua noma noma
Ukiibutua, noma noma
Wataichukua, noma noma
Island kinoma noma

Kinoma noma, kinoma noma
Kinoma noma, eeh kinoma noma
Kinoma noma, kinoma noma
Kinoma noma, kinoma noma

Okey, nani airidhishe, mziki wa jamii
Watu wanaimba matusi, kinoma noma
Kwenye mitandao, mengi maarifa
Ila watu wanagoogle matusi, kinoma noma

Huko darasani, hesabu huziwezi
Ila mjini unahesabu mabwana, kinoma noma
Umetoka kanisani, shetani humuwezi
Maana kwake kuna mabata, kinoma noma

Yeah, 
Kwenye ndoa mlokole, ukifanya polepole
Kwa mchepuko unapiga uno, kinoma noma
Soka the Bongo, Simba na Yanga
Na tunawanga kinoma island noma

Noma noma, jua noma noma
Ukiibutua, noma noma
Wataichukua, noma noma
Island kinoma noma

Kinoma noma, kinoma noma
Kinoma noma, eeh kinoma noma
Kinoma noma, kinoma noma
Kinoma noma, kinoma noma

Leave a Comment