Yesu Nataka Kusema Nawe Lyrics
Yesu Nataka Kusema Nawe Lyrics by TUMAINI MBEMBELA
Nataka kusema nawe(Nawee nawee)
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu)
Nataka kusema nawe(Nawee nawee)
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu)
Nataka kusema nawe(Nawee nawee)
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu)
Nataka kusema nawe(Nawee nawee)
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu)
Nisikie
Nataka kusema nawe(Nawee nawee)
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu)
Nataka kusema nawe(Nawee nawee)
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu)
Nataka kusema nawe(Nawee nawee)
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu)
Nataka kusema nawe(Nawee nawee)
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu)
Hodi eeh Yesu, nataka kusema nawe
Naomba nifungulie, nataka kusema nawe
Naomba nisikilize, nataka kusema nawe
Nataka kusema nawe, Rabi
Nataka kusema nawe, Shammah
Nataka kusema nawe(Nawee nawee)
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu)
Wewe ni tofauti na wanadamu
Wewe uko tofauti sana na wanadamu
Wanadamu nikisema nao, kesho watanigeuka
Wanadamu nikisema nao, kesho watanizunguka
Nataka kusema nawe, wewe wee Yesu
Nataka nikuambie baba
Wewe huna kifua cha kutunza siri yangu
Wewe ni mwaminifu
Wewe una majibu, ya maswali yangu
Wewe una majibuu...
Nataka niseme nawe, kwa habari yangu
Nataka niseme nawe, kwa habari ya kanisa
Nataka niseme nawe, kwa habari ya nchi yangu
Nataka kusema nawe, wewe msikivu
Nataka kusema nawe, wewe mnyenyekevu
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu)
Nataka kusema nawe(Nawee nawee)
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu)
Nataka kusema nawe(Nawee nawee)
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu
Nataka kusema nawe(Nawee nawee)
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu)
Nataka kusema nawe(Nawee nawee)
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu)
Wewe Mungu unanijua, toka kuzaliwa kwangu
Haja yangu unaijua, naomba ukaniguse
Gusa maisha maisha yangu
Gusa maisha huduma yangu
Nifute machozi eeh Yesu
Mbele yangu nawaleta, mbali mbali
Wengine ni wagonjwa, naomba ukawaponye
Hawana baba wala mama, wewe ni baba yao
Naomba ukawalee... hee
Wengine ni wajane, wewe ni mume wao
Naomba ukawalee
Natamani nchi yangu, kuona amani inatawala
Kila siku ni burudani, hakuna mabomu
Hakuna vilio, siku zote ni amani
Tawala viongozi wetu, bila wewe hawawezi
Hekima yako itawale, katika maisha yao
Nataka kusema nawe(Nawee nawee)
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu)
Nataka kusema nawe(Nawee nawee)
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu
Nataka kusema nawe(Nawee nawee)
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu)
Nataka kusema nawe(Nawee nawee)
Nataka kusema nawe(Na wewe Yesu)
Wewe, nakutegemea
Watch Video
About Yesu Nataka Kusema Nawe
More TUMAINI MBEMBELA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl