...

Staki Staki Lyrics by REKLES

Yeah uh uh cheki
Yeah ati patwa na madawa, rapper na mabawa
Mi staki staki bana jo mi staki staki
Cheki marapper wana gwaya, taka ni retire
Mi staki staki bana jo mi staki staki

Patwa na madawa, rapper na mabawa
Mi staki staki bana jo mi staki staki
Cheki marapper wana gwaya, taka ni retire
Mi staki staki bana jo mi staki staki

Cheki yo mi na kumurder
Na ku chapa pia na charger
We ubonga ni kama ume pagawa na una washwa
Ata uende church ujibebe kama pastor
Ata uteme verse si unajua nani master

Sinister ata worst niko base niki shikisha
Umejaa gas buda kwani we ni cylinder
Na ma les*** pia wanalipisha
Cheki tokwa buda bye bye
Simu ni mteja kwa wateja hawana faida
Buda hadi pesa una itishanga kwa ma cypher
Chizi na Delila ju ana kaa  malaika
Na ana kaa ni kaa mmh mmmh yake ni pia tigher

Patwa na madawa, rapper na mabawa
Mi staki staki bana jo mi staki staki
Cheki marapper wana gwaya, taka ni retire
Mi staki staki bana jo mi staki staki

Patwa na madawa, rapper na mabawa
Mi staki staki bana jo mi staki staki
Cheki marapper wana gwaya, taka ni retire
Mi staki staki bana jo mi staki staki....

Watch Video

About Staki Staki

Album : Staki Staki (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Ethic Entertainment.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 17 , 2020

More REKLES Lyrics

REKLES
REKLES

Comments ( 0 )

No Comment yet

See alsoYou May also LikeGet Afrika Lyrics Mobile App

About AfrikaLyrics 

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2020, New Africa Media Sarl