Goals Lyrics
Kenyan artist Nyashinski is back again with 3 tracks "Goals", "Whoopty Freestyle&q...
Goals Lyrics by NYASHINSKI
Penye nia panafaa kuwa na njia
Hapa iko nia but manjia but zimefungwa na curfew
Na by the time jua inatokea
2 Billion imeshapotea
Watu wako hopeless
BIla IG tuko jobless
Mtoto ni mzazi atalea
Ama msanii ndo ataambiwa
Ni lazima akasafishe content
2022 hatutaki tricks
Na ugali wanabonya tunataka piece
Gang signs za mayolo natupapa ease
Lunch time after kikolo na kajapanese
Unaenda lap naenda biz
Mindset nishalock success iko na keys
Fame iko na pressure fam iko na needs
Kwenyu kunanyesha kwetu kuna trees
Hii shit sa ni do or die
Hii rap ndo inafungua milango
Itafungua za Lambo
Iko so close naeza ionja
Na hio taste ni familiar
Ka kuchonga nishakushow nina kismat mi walai
Najichocha Jah Jah najua size ile inanitosha
Niko hapa nakungoja ni ka pep ndo kocha
Nimeingia hii mwaka na goals
Ah siku hizi sikai ka nadoz
Mi ni sniper na flows
Mingi style na mapoz
Nyi ni macustomer
Natry kustack hio bread
I need a slice of tha loaf
Watu silike ni matoast
Kitu silike ni kuwa broke
Jiji imejaa mapinji
But si lazima ukuwe pinji ndo umake it
Na nimekam kuiprove ngoja ucheki bado na improve
Ni vile tu leo mnajifanya ni ka hamnijui
Kesho mtani tafuta ka P2
We uko mtaani si hapa kazi tu
Hii ni Ukoo flani iko na Calif juu
Ka nitakuwa nimewacha kurap
Jua niko mahali nanunua Bentely
Kwa show nawacha watu wakiclap
After niko mahali narelax nikiziseti
Nusu kilo kwa dash hio nusu ingine ni taxin
50 percent ilikuja nikashika bag
Bila vijiti ama mbegu
Hio ingine nikaweka kwa benki
Kiu ya shida iko na watu wengi
Kiu ya kushinda ni ka ya kudenki
Queen ana figa na sura fine Thank You
Shin huwaga stima wah kudadadeki
Mi huuwa keeper nakufa na beki
Nina uhakika nitashika senti
Nani anasema siwezi nafeel ka Gadama Messi
Nimeingia hii mwaka na goals
Nimeingia hii mwaka na goals
Ah siku hizi sikai ka nadoz
Mi ni sniper na flows
Mingi style na mapoz
Nyi ni macustomer
Natry kustack hio bread
I need a slice of tha loaf
Watu silike ni matoast
Kitu silike ni kuwa broke
I keep my eyes open
Never let the other side know
So we never know never know never
Show emotions, never know never know never
Watch Video
About Goals
More NYASHINSKI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl