Mola Usinisahau (Ghetto Life) Lyrics
Mola Usinisahau (Ghetto Life) Lyrics by ZIKKI KENYA
Mola usinisahau, Mola usinisahau
Mola usinisahau, aah
Mola usinisahau, Mola usinisahau
Mola usinisahau, Mola usinisahau
Stress za life hazifanyi nijimade ooh
Stress za life hazifanyi nijimade no
Mavijana wako swing wanachoma shada
Cheki wengine wako jaba
Cheki na wengine wako jaba
Ati ghetto life inawezafanya
Ukasaka doh
Ghetto life inawezafanya
Ukapata more
Ghetto life inawezafanya
Ukapata doh
Ghetto life inawezafanya
Ukasaka doh
Mola usinisahau, Mola usinisahau
Mola usinisahau, aah
Mola usinisahau, Mola usinisahau
Mola usinisahau, Mola usinisahau
You don't have dreads to be rasta
Mamangu jameni malaika
Mimi nasema nafaaa
Kuja unipende blackqueen
I've been longing for you
Baby I love you with my soul
Nakupenda beiby
We ni fire unawaka aah
Usiogope kuja nami
Ghetto life inawezafanya
Ukasaka more
Ghetto life inawezafanya
Ukapata doh
Mola usinisahau, Mola usinisahau
Mola usinisahau, aah
Mola usinisahau, Mola usinisahau
Mola usinisahau, Mola usinisahau
Stress za life hazifanyi nijimade ooh
Stress za life hazifanyi nijimade no
Ghetto life inawezafanya
Ukasaka doh
Ghetto life inawezafanya
Ukapata more
Watch Video
About Mola Usinisahau (Ghetto Life)
More ZIKKI KENYA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl