Moto Lyrics
Moto Lyrics by ZIKKI KENYA
Zikki! Yeroo
Mapenzi ya helmet
Ni mapenzi ya helmet
Watu wakimbia wamegeuka
Eti ndio nikupende
Lazima nijichunge
Haki za watoto
Zikapuuzwa
Ata wazazi kawageuka
Hawana mlinzi
Kuna moto, kuna moto, kuna moto
Kuna moto kuna moto, kuna moto, kuna moto
Kuna moto, kuna moto, kuna moto
Kuna moto kuna moto, tururu
Moto umewaka, moto umewaka
Moto umewako, moto umewaka
Moto umewaka, moto umewaka
Moto umewako, moto umewaka
Hata kupendana hatuwezi
Tunachomana usiku yeah
Tunadungana na visu
Na hakuna!
Anayetaka kumwona mwenzake amefaulu(Amefaulu)
Na hakuna!(Nobody)
Anayetaka kumwona mwenzake akifaulu(Akifaulu)
Dunia wewe
Tuhurumie, tuhurumie, tuhurumie, tuhurumie
Dunia wewe
Tuhurumie, tuhurumie, tuhurumie, tuhurumie
Moto umewaka, moto umewaka
Moto umewako, moto umewaka
Moto umewaka, moto umewaka
Moto umewako, moto umewaka
Moto umewaka, moto umewaka
Moto umewako, moto umewaka
Moto umewaka, moto umewaka
Moto umewako, moto umewaka
Moto umewaka, moto umewaka
Moto umewako, moto umewaka
Moto umewaka, moto umewaka
Moto umewako, moto umewaka
Ni mapenzi ya helmet
Ni mapenzi ya helmet
Dunia wamefunga macho...
Ni mapenzi ya helmet
Ni mapenzi ya helmet
Ni mapenzi ya helmet
Watch Video
About Moto
More ZIKKI KENYA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl