Top Form Lyrics
Kenyan artist Nyashinski is back again with 3 tracks "Top Form", "Whoopty Freestyl...
Top Form Lyrics by NYASHINSKI
Mwaka mzima hakuna show
Sa unatakaje? (Sa unatakaje)
Ka ki cookie rent haishuki
Na mi ni mzazi vitu sihitaji
Vitu sihitaji zinafeel stupid
So sikupi mziki huhitaji
Kwa ufupi chini sistuki
Mimi niko juu vile huwezi imagine
Watu wanataka hope niitoe wapi?
Mi mwenyewe nashangaa hii row
Najua kutaendaje?
Vitu ka mng'aro kwanza nishatoa kwa budget
Sijali kwa gram hizo mapicha zitatokaje
Madeni za masupplier
Grown men sa wanagwaya
Pia mi naomba nipeeni chance ka KEMSA wanahire
Ulimjudge sa unamwita mentor ju kuna pesa kwa umalaya
Shingo inameremeta nakaa influencer wa mawaya
Mi huwa na simu ukiniita bash nakuja na till
Na look inaclash na sura ya ndimu
Na watu mnatrust ni watu naheshimu
Ka kuna cash ndo nashika simu
Ka niko works nakuwanga mashini
Nalipa tax na nalipa bill
Ndio maana ni black alafu iyasin
Hawa mayoungin' wananeed mentorship
More than wananeed censorship
Kwa street mi ni evangelist
Wanaserve tea mi naserve confidence
Success si by accident
Na usifocus ie on past events
Na rulebook jua tu must ibent
Na goodbooks si I don't judge me men
Kwa top 3 mi ni number 1 2 3
Ofcourse hii city iko na love for me
Na approach hii kitu kama destiny
Masoftie ndo huwaga waloud viziii
Ka hunioni hata mi sikuoni
But haifiki jioni ka huniskii redioni
Mi ni ka news we hata na miwani
Bado na binocular bado mi sikuoni
Paid my dues, kwa lifestyle socials ni headline news
Hakufai kuwa na jam nilkiheadline shows
Grown ass men complain like hoes
Ku sign wasanii hakuna haina deadline bro
I'll do it when I do it
Mwaka mzima hakuna show, acha tuziashe
Kilimanjaro tu ndo itapita hii highness
Ama collabo kati ya mi na South C finest (R.I.P)
Ata kwa mtaro utanipata na designer
Acha tuziashe
Kilimanjaro tu ndo itapita hii highness
For my people I do whatever I can...
Watch Video
About Top Form
More NYASHINSKI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl