Umwaminifu Lyrics

HELLEN MUTHONI Feat ZIPPY GACHENGO Kenya | Gospel,

Umwaminifu Lyrics


Nimejawa na furaha
Nikikumbuka tu ni jana
Nilikulilia Bwana
Nikidhani umeniacha

Nimejawa na furaha
Nikikumbuka tu ni jana
Nilikulilia Bwana
Nikidhani umeniacha

Leo hii naimba 
Mwaminifu Rabana
Ahadi zako
Umetimiza

Umwaminifu,Yesu
Umwaminifu, Baba
Umwaminifu leo
Na milele

Umwaminifu,Yesu
Umwaminifu, Baba
Umwaminifu leo
Na milele

Nafsi yangu yakungoja 
Wewe wokovu wangu
Nakutizama wewe
Pekee Adonai

Mwamba na mlinzi wangu
Tegemeo na nguvu zangu milele
Sitariki maana wewe 

Umwaminifu, mwaminifu
Umwaminifu, Mimi najua
Umwaminifu leo
Na milele

Umwaminifu, Mungu wa kweli
Umwaminifu, Oooh Yahweh
Umwaminifu leo
Na milele

Jana(Jana) 
Leo na milele, Yesu wee
Jana(Jana) Leo na milele

Naimba tena
Jana(Umwaminifu) leo na milele
Naimba tena
Jana(Umwaminifu) leo na milele

Jana(Umwaminifu) leo na milele
Naimba tena
Jana(Umwaminifu) leo na milele

Na milele

Leave a Comment