Msingi Lyrics
Msingi Lyrics by HELLEN MUTHONI
Hallelujah aaah
Imani yangu kwako
Naomba iwe zaidi
Zaidi ya uoga huu
Uliyo ndani yangu
Kama vile mama Yule
Alivyongoja kupigwa mawe
Wewe ndiye msaidizi
Uandikapo chini niokoke
Nijenge msingi
Nijenge msingi Yesu
Msingi imara
Usiyotingizika
Nijenge msingi
Nijenge msingi Yesu
Msingi imara
Usiyotingizika
Hekima yako mungu
Yapita mawazo yangu
Umahiri nahitaji
Kufuata sauti yako
Kama petro juu ya maji
Alivyoona kuzama kwake
Wewe Yesu msaidizi
Unyoshapo mkono niokoke
Nijenge msingi
Nijenge msingi Yesu
Msingi imara
Usiyotingizika
Nijenge msingi
Nijenge msingi Yesu
Msingi imara
Usiyotingizika
Haina huzuni kamwe
Baraka uliopeana
Kudumu kwake ni wewe
Kutunza hiyo ukanipa
Kama mama mshunebu
Alivyobeba maiti ya mwanawe
Yesu wewe wa kurejesha
Furaha ndani yangu
Nijenge msingi
Nijenge msingi Yesu
Msingi imara
Usiyotingizika
Nijenge msingi
Nijenge msingi Yesu
Msingi imara
Usiyotingizika
Nijenge msingi
Nijenge msingi Yesu
Msingi imara
Usiyotingizika
Msingi imara
Usiyotingizika
Watch Video
About Msingi
More HELLEN MUTHONI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl