Omega Lyrics by BELLA ALPHA

Bwana ndie mkuu wa kusifiwa
Katika wema wake mtakatifu
Tumeuona mkono wake 
Tumeziona fadhili zake
Kama vile jina lake Ivo ndio 
Sifa zake hata mwisho wa dunia

Wema wako unafanya haki
Kama hilo jina Lake
Sifa zake ziko hata mwisho wa dunia
Mkono wako unafanya haki 
Kama livyo jina lako 
Ndio sifa zako hata mwisho wa dunia

Mkono wako unafanya haki
Alpha Omega 
Beggining and the end
Hakuna Kama wewe
Hakuna Kama wewe
Ni wewe Praise your name Lord

Kuishi kwangu Mimi Ni neema yako 
Baraka zako kwangu hazipungui
Nitakusifu 
Wewe Ni Baba Wewe Ni Mungu
Kama livyo jina lako
Mkono wako unafanya haki

Aplha Omega 
The beginning and the end 
Mwanzo Tena mwisho 
Hakuna Kama wewe
Aplha Omega 
The beginning and the end 
Mwanzo Tena mwisho 
Hakuna Kama wewe

Hakuna Kama wewe 
Kama wewe 
Kama wewe 
Hakuna Kama wewe
Matendo yako
Fadhili zako za milele

Hakuna Kama wewe
Kama wewe
Hakuna Kama wewe
Wa kupewa sifa Ni wewe
Mungu wangu Ni wewe

 

Music Video
About this Song
Album : Omega ,
Release Year : 2017
Copyright : ©2017
Added By: Its marleen
Published: Apr 29 , 2020
More Lyrics By BELLA ALPHA
Comments ( 0 )
No Comment yet