VIVIAN Chachisha cover image

Chachisha Lyrics

Chachisha Lyrics by VIVIAN


Chachisha
Tumekuja tu kuchachisha
Vivian, Sosuun

Tumekam tu ki-rende
Sisi ndo wale madada wembe
Tumekuja kutesa, tesa, tesa
Whoooaaa

Ni kama kumekucha
Wasichana tengeneza kucha
Na mukuje na gari mafuta
Leo ni kuparty hadi kucha
Usinishike ka we si afande (afande)
Songa mbali toka yangu upande (upande)
Kaa na mikono yako usinibambe
Sipangwingwi labda nikupange
Whaaaooo
Supuuu

Wanashinda wakiniita msupu
Wanafanya hata najishuku
Kwani ni nini nafanya huku
Kama ni wine mi ni fine wine
Kama ni time ni nabuy time
Kama ni line usicross mine
Ju mimi si wa mutu

Chachisha
Tumekuja tu kuchachisha
Tumekuja tu ku chacha
Chachisha
Tumekuja tu kuchachisha
Tumekuja tu ku chacha
Chachisha
Tumekuja tu kuchachisha
Tumekuja tu ku chacha
Chachisha
Tumekuja tu kuchachisha
Chachisha, chachisha

Miguu ndogo but kila nikistep wanafeel
Main chick, aka mistari tycoon
Nimebeba bunda ya doh
Bigi ka haga ya risper (si ye ni wife wa razy)
Mafisi wanawhisper
Handele handele mama, iya iya
Hapa ndani tumekuja kuchachisha chisha
Leta double kila kitu naitisha tisha
Viv mbona meza yetu haina sheesha sheesha
Sssshhh ah ah ah ah
Me and my girls just wanna have some fun
Piga sherege kikanairo rombosa
Tunatesa, tunatesa poa na tuna pesa
Na hio attitude pole sana
You know you can’t hang with us
No wayyy
Hapa ni good vibes, tubapenda good life
Yolo mtu wangu jinyce

Chachisha
Tumekuja tu kuchachisha
Tumekuja tu ku chacha
Chachisha
Tumekuja tu kuchachisha
Tumekuja tu ku chacha
Chachisha
Tumekuja tu kuchachisha
Tumekuja tu ku chacha
Chachisha
Tumekuja tu kuchachisha
Chachisha, chachisha

Tumekam tu ki-rende
Sisi ndo wale madada wembe
Tumekuja kutesa, kutesa
Tumekam tu ki-rende
Sisi ndo wale madada wembe
Tumekuja kutesa, tesa, tesa

Chachisha
Tumekuja tu kuchachisha
Tumekuja tu ku chacha
Chachisha
Tumekuja tu kuchachisha
Tumekuja tu ku chacha
Chachisha
Tumekuja tu kuchachisha
Tumekuja tu ku chacha
Chachisha
Tumekuja tu kuchachisha
Chachisha, chachisha
Tumekuja tu kuchachisha
Tumekuja tu ku chacha
Chachisha
Tumekuja tu kuchachisha
Tumekuja tu ku chacha
Chachisha
Tumekuja tu kuchachisha
Tumekuja tu ku chacha
Chachisha
Tumekuja tu kuchachisha
Chachisha, chachisha


About Chachisha

Album : Chachisha (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Mar 31 , 2022

More VIVIAN Lyrics

VIVIAN
VIVIAN
VIVIAN
VIVIAN

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2022, We Tell Africa Group Sarl