Nioneshe Lyrics
Nioneshe Lyrics by VIVIAN
Nifundishe kuwa humble, kuwa humble yeah
Nimechoka na kugambo, na kugambo yeah

Nioneshe, nioneshe njia zako
Baba nioneshe,nioneshe ukuu wako (nioneshe)
Oh Baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (nioneshe)
Oh Baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (njia zako Baba aah)

Oh Baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (hii ndilo ombi langu)
Hata wakiniona, wakiniona waone your peace all over me
Mungu umenitetea, umeniinua, your joy is all over me
Na musa Baba alinyorosha fimbo
Akawaabia wana wako, my people let’s go
Hawakujua wanakokwenda, kwenda uliwaongoza Yesu
Hawakujua wanakokwenda, kwenda uliwaongoza Baba
Name sijui nako kwenda, kwenda uniongoze Yesu
Name sijui nako kwenda, kwenda unioneshe
Oh Baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (nioneshe)
Oh Baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (njia zako Baba aah)
Oh Baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (nioneshe)
Oh Baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (hii ndilo ombi langu)
Sometimes mi nafeel uko far away
Lord sometimes, imani yangu kwako ina-fade away
Nifundishe kuwa humble, kuwa humble yeah
Nimechoka na kugambo, na kugambo yeah
Nifundishe kuwa humble, kuwa humble yeah
Nimechoka na kugambo, na kugambo yeah
Nioneshe, nioneshe njia zako (njia zako)
Baba nioneshe,nioneshe ukuu wako (nioneshe)
Oh Baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (nioneshe)
Oh Baba nioneshe,nioneshe, nioneshe
Oh Baba nioneshe,nioneshe, nioneshe
Oh Baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (hii ndilo ombi langu)
Oh Baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (nioneshe)
Oh Baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (njia zako Baba aah)
Oh Baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (nioneshe)
Oh Baba nioneshe,nioneshe, nioneshe (hii ndilo ombi langu)
Watch Video
About Nioneshe
More VIVIAN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl