Whoopty Freestyle Lyrics
Kenyan artist Nyashinski is back again with 3 tracks "Whoopty Freestyle", &qu...
Whoopty Freestyle Lyrics by NYASHINSKI
Just incase haikuwa clear
Shin forever top tear
Flow ni ya bomb ka Bosnia
Boss mia I can't show no fear
Toook near 10 years off
Nikaprove mi ni mdeadly ofcourse
Sijai loose kuna plenty of sauce
Mi namove design hauwezi copy yaani
Shoot ka Kobe ni true
Hii shit ni hobby am true
Good to be lonely assume
Niko na kikosi assume
Mita moja haitoshi
Online gossip haina doh ki tycoon
Bado all eyes on me am who
God blessed am sorry
Too old for that old shit
Too busy so ni no sleep
Too easy so sichoki
Stay fly mi si I'm an ostrich
Midlife naispend-ia coast beach
Hii ni ka ile smile ya gokish
Ni chafu na umenotice
Popular like your dope dealer Shinchilla
Usiwai sahau jina beat killer
Hawawezi cheki John Cena ako na breadi
Top nigga hakuna kesi
Bismilla bonya freshi
Sapa ni hawa ma Mcee
Kwangu nyi ni kazi nyepesi
Unaeza shika beat ka anyway
Meza wembe ka una wivu ule
Anatafta msee ka mi ujue
Anajipea maumivu tu bure
Usijisumbue hakuna mwingine
Professional wa kitu ile
Hamtaisomeshwa kwa hizi shule
Hamtainisongesha mi ni ule msee
Ni kugenje.... hahaha kwisha!!
Watch Video
About Whoopty Freestyle
More NYASHINSKI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl