Kenya Yangu Lyrics
Kenya Yangu Lyrics by IODINE KENYA
Mandhari ya kuvutia
Ebu ona Nchi imetuliaa, kila kona
Nairobi mjii mkuu pia
Hakuna nomaa
Na kwa wale wanaopanga kutufikia, iyo nooma
Eh mungu nguvu, nguvu yetu
Ilete baraka, baraka kwetu
Haki iwe nguzo na ulinzi na upendo nao uwe nguzo siku zote
Si ndo number one kwenye hii dunia
Global wise Global wise, tunabobea
Tunajivunia tunamambuga, ya wanyama kila place tunavuruga
You guy my guy tunashine, barabara kwenye highway tunafly
lugha yetu sheng bana, tunayoimba kuchill nakuchana
Kenya mama yangu, i love you
Kenya baba yangu, i need you
Kenya makao yangu, najivunia
Kaskazini kusini kote, tunabobea
Tuwakumbuke kwenye sala viongozi wetu
mungu wetu mwaminifu siku zote
Tuzidishe jitihada kwenye kazi zetu
Utu tuwaonyeshe wasio jiweza, kati yetu
Si ndo number one kwenye hii dunia
Global wise Global wise, tunabobea
Tunajivunia tunamambuga, ya wanyama kila place tunavuruga
You guy my guy tunashine, barabara kwenye highway tunafly
lugha yetu sheng bana, tunayoimba kuchill nakuchana
Sheng bana, tunayoimba kuchill nakuchana
Kenya mama yangu, i love you
Kenya baba yangu, i need you
Kenya makao yangu, najivunia
Kaskazini kusini kote, tunabobea
Watch Video
About Kenya Yangu
More IODINE KENYA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl