For You Lyrics by IODINE KENYA


Ah lalalalalala
Lalalallallallalallall

Mburingo na ngaii
Natamani nikupe ila sina
Hati miliki ya dunia nzimaa
Nikupe vyotevyote vya dhamanaaa
Karne Porche,Ferari, Gucci au Gavana
Najua unanipenda namiii nakupenda pia
So usije niacha mwaya penzi nikalijutia
Yani kitandani magori unavyio yafunga Ka (Mariga riga)
Katoto fine, rangi ya wine, ka kitembea (Kanaringa ringa)

Piga selfie, tujiposti
Beibe love, beibe love
Na ma-exi, wakitucheki
Oleee waooo
Piga selfie, tujiposti
Beibe love, beibe love
Na ma-exi, wakitucheki
Oleee waooo

Aaaaaala alalala
(Lemme siing for you) aaaaaala alalala
(Dedication for you) aaaaaala alalala
(Let me sing sing for you) aaaaaala alalala
(Coz beibe i love you) For you, for you, for you
Wanna sing for you For You

Na usijetekwa na mbaba doro ukaniachaaa
Ukanizimia simu, nikipiga mteja
Bado nahustle kesho nikuzawidi kiwanzaaa
Bora piga goti sali niombee ebenezarrr
Maana weeeee ndo daidai (nae dai, nae dai, nae dai)
Every night and day (ndo, nadaidai, ndo, nadaidai)
Weee wa wapekeeeeee (ndo, nadai, ndo nadai, ndo nadai)
In the dark and light ( ndo nadai, ndo nadai)

Piga selfie, tujiposti
Beibe love, beibe love
Na ma-exi, wakitucheki
Oleee waooo
Piga selfie, tujiposti
Beibe love, beibe love
Na ma-exi, wakitucheki
Oleee waooo

Aaaaaala alalala
(Lemme siing for you) aaaaaala alalala
(Dedication for you) aaaaaala alalala
(Let me sing sing for you) aaaaaala alalala
(Coz beibe i love you) For you, for you, for you

Watch Video

About For You

Album : For You (Single)
Release Year : 2023
Added By : Wasuper Entertainment
Published : Aug 04 , 2023

More IODINE KENYA Lyrics

IODINE KENYA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl