Na Nusu Lyrics
Na Nusu Lyrics by NANDY
Yogo on the beats
(The African Princess)
Shii! Akichekecha nacheketua naye
Bandua bwesa ninakesha naye
Bingwa wa mitindo sio foreigner
Dereva sio ulingo
Inashika antenna oyee
Ashanasa ulimbo, ulimbo
Sibanduki ng'o
Mi naye ngoma draw oyee
Nakesha lindo, lindo
Macho kwenye show
Kuchakachua no, oyee
Kaninogea(Ooh inama inama)
Koleza na kuni moto chochea(Ooh inama inama)
Akipiga kick inatembea(Ooh inama inama)
Za ki China China za ki Korea(Ooh inama inama)
Akipiga kick!
Napunga kipopo kapaa kabana
Nauminileva kama banana
Nikiguza kitufe mambo mwanana
Ulipopita we mbali we umeshona
Baiko baikoko
Kibao kata kanga moko
Chikigiriki kimoko
Nachora eeeh
Nimeshanasa ulimbo, ulimbo
Sibanduki ng'o
Mi naye ngoma draw oyee
Nakesha lindo, lindo
Macho kwenye show
Kuchekechua no, oyee
Kaninogea(Ooh inama inama)
Koleza na kuni moto chochea(Ooh inama inama)
Akipiga kick inatembea(Ooh inama inama)
Za ki China China za ki Korea(Ooh inama inama)
Akipiga kick(Na nusu)
Na nusu, na nusu
Watch Video
About Na Nusu
More NANDY Lyrics
Comments ( 1 )
Unafanya vizuri mwanangu big up sana mwanangu angel in fan mkubwa kwako endelea hivyo hivyo
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl