
Nalewa Lyrics
Nalewa Lyrics by JAY MADINI
Mi kwako paka we panya ee
Kiuno mixer unavyonichanganya ee
Kitandani longo longo unapotupa kaanga
Zege ni kokoto, ushanifanya kanga
Shepu mwana mitindo
Na nyuma kamebeba Migingo
Kanavyokata kanungo
Nichanganye kwenye sambuka(Ayee)
Nipe tamu sambusa(Ayee)
Nikuchezee everyday ghapuka(Ayee)
Nichanganye kwenye sambuka(Ayee)
Nipe tamu sambusa(Ayee)
Nikuchezee everyday ghapuka(Ayee)
Jipe zangalewa, ngalewa, ngalewa
Kwako nalewa, nalewa, nalewa
Jipe zangalewa, ngalewa, ngalewa
Kwako nalewa, nalewa, nalewa
Nipe sangalewa
Mr lover lover
Yet I mean to you
Oooh baby come over
Woun't you be my boo
Maana uzuri wako tabia yako
Umbile lako mienendo yako
Unafanya nivavange natoka jasho
Ili milele niitwe wako
Nichanganye kwenye sambuka(Ayee)
Nipe tamu sambusa(Ayee)
Nikuchezee everyday ghapuka(Ayee)
Nichanganye kwenye sambuka(Ayee)
Nipe tamu sambusa(Ayee)
Nikuchezee everyday ghapuka(Ayee)
Jipe zangalewa, ngalewa, ngalewa
Kwako nalewa, nalewa, nalewa
Jipe zangalewa, ngalewa, ngalewa
Kwako nalewa, nalewa, nalewa
Nipe sangalewa
Ayee, ayee, ayee
Watch Video
About Nalewa
More JAY MADINI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl