
Sugar Lyrics
...
Sugar Lyrics by NANDY
Ooooohh
The african princess
Mmmh
S2kizzy baby
Siku kama hizi tuliziona ndotoni tu, ndotoni tu
Kidogo siku hizi
Na sisi tuna nafuu, tuna bafuu
Kichwani siko sawa, akili sana
Moyoni siko sawa, ni lako jina
Na penzi liwe dawa, nipone mazima
Niwe sawa mzima mzima
Ohh sugar ni tamu asali
Ni tamu hatani ni tamu sana
Ohh sugar ni tamu asali
Ni tamu hatani ni tamu sana
Ohh sugar ni tamu asali
Ni tamu hatani ni tamu sana
Shida sio mimi shida sio wewe
Shida ni moyo wangu
Shida sio wale, shida sio kule
Shida ni moyo wangu
Kichwani siko sawa, akili sana
Moyoni siko sawa, ni lako jina
Na penzi liwe dawa, nipone mazima
Niwe sawa mzima mzima
Ohh sugar ni tamu asali
Ni tamu hatani ni tamu sana
Ohh sugar ni tamu asali
Ni tamu hatani ni tamu sana
Ohh sugar ni tamu asali
Ni tamu hatani ni tamu sana
Watch Video
About Sugar
More NANDY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl